Twiga naye apelekwe wapi? Maana Kigwangala alimpeleka mmojaBaada ya mazishi Uwanja hautahitajija eneo warudishiwe wananchi walionyang'anywa mashamba na machungio yao na kuhamishwa kupisha ujenzi, Hospitali ya Rufaa iwe Kituo cha Afya, Chuo cha VETA kiwe cha Taifa, Mbuga ibaki Forest Reserve na Uwanja wa Mpira utupiliwe mbali maana Wasukuma ni wafugaji siyo wachezaji. Miradi yote hiyo kama Wasukuma wa Chato wangeulizwa na kutakiwa wagharamie wenyewe kwa kuuza mifugo yao wangeikataa na kumpiga mawe mleta wazo maana siyo vipaumbele vyao. Wasukuma wazuri sana wameharibiwa na Awamu ya Tano!
Imeshaisha hiyooooooo!!! Zamani tulikuwa tunasema Karasiiiiii!!Uwanja wa ndege, hospitali ya rufaa, chuo cha VETA, mbuga, kulikuwa na mpango wa uwanja wa mpira nk nk.
Je, Serikali itaiendeleza?
Waiendeleze au waache shauri yao, tunataka demokrasia ya kweli na haki za binadamu kuheshimiwa.
Ben Saanane na Lissu alikuwa mtoto wa sokwe?.Jamaniiii huyu baba ameniumaaaaaa, achilia mbali mambo ya siasa huyu ni mtoto wa mtu, ana mama jamani, mama yake ni mzeee sana[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] mama yake atalia sana, huyu sio Rais tu bali ni mtoto wa mtu. Ana familiya ana watoto.
Sasa kama mimi nalia hivi huko familiya yake wana hali gani? Kifo ni fumbo. Mungu mpokee huyu mtoto kama sisi tulivyozaliwa.
Watu walio too emotional huwa hawana uwezo wa kujenga hoja.ben saanane na lissu alikuwa mtoto wa sokwe?.
Tatizo ambalo tunakabiliana nalo sasa ni mdololo wa uchumi hasa kutokana na corona. Miradi mingi ilianzishwa kabla ya corona na sasa mapato yamepungua km sekta ya utalii. Hivyo serikali lazima iainishe miradi kulingana na mapato ya nchi na vipa umbele vya maendeleo. Haina maana kulundika miradi mingi isiyokuwa na tija ktk wilaya moja ndogo wkt zipo sehemu nyingi tena zenye idadi kubwa ya watu lkn ziko nyuma kimaendeleo.Kwani si ni mipango ya serikali hiyo?kwa nini tuanze kuhoji?mimi nadhani hao mawaziri watatakiwa kuisimamia ikamilike maana ilikuwa kwenye ilani ya ccm.tukianza kuhoji hayo tutaanza kuhoji pia na ujenzi wa busis bridge,nyerere hydro, sgr,midege mingine.
So kama hayo mamiradi hayakuainishwa kwenye ilan pamoja na mpango wa maendeleo wa nchi basi inabidi yafikiliwe upya.sioni waziri yule yule aliyeleta hizo hoja bungeni alete tena hoja za ku cancel.
Ila pia waangalie kama tayari kulikuwa na contractual obligation,watashikilia mindege yetu.
Sijui budget ya mwaka huu itakavyokuwa,bahati mbaya hata alikuwa hajasaini mswaada wa budget take ya kwanza ktk kipindi chake cha pili
Acha unafique....fikiria kuhus mamake Eric kabendera,fikiria binti wa mawazo, fikiria mke wa azory gwanda,ndo uje ukomement upya hapaJamaniiii huyu baba ameniumaaaaaa, achilia mbali mambo ya siasa huyu ni mtoto wa mtu, ana mama jamani, mama yake ni mzeee sana[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] mama yake atalia sana, huyu sio Rais tu bali ni mtoto wa mtu. Ana familiya ana watoto.
Sasa kama mimi nalia hivi huko familiya yake wana hali gani? Kifo ni fumbo. Mungu mpokee huyu mtoto kama sisi tulivyozaliwa.
Kuna mengine inawagusa watu mingine ni ngumu kuelewa ilianzajeUwanja wa ndege, hospitali ya rufaa, chuo cha VETA, mbuga, kulikuwa na mpango wa uwanja wa mpira nk nk.
Je, Serikali itaiendeleza?
hata tundu lissu na ben saa nane nao wana mama zao.kwa hiyo mama ake magufuli ndio mama bora au??? bora hilo shetani limekufa watu tuishi kwa uhuru.mama ake mwenyewe atakuwa amefurahi.nina uhakika mama ake na mke wake walikuwa hawafurahii ukatili aliokuwa anafanya.kwanza mkewe atakuwa amefurahi kuwa mjane kuliko kuishi na hilo ibilisi tena wamzike haraka tumsahau kabisa.mimi sihesabii kama Tanzania imewahi kuwa na rais anayeitwa magufuliJamaniiii huyu baba ameniumaaaaaa, achilia mbali mambo ya siasa huyu ni mtoto wa mtu, ana mama jamani, mama yake ni mzeee sana[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] mama yake atalia sana, huyu sio Rais tu bali ni mtoto wa mtu. Ana familiya ana watoto.
Sasa kama mimi nalia hivi huko familiya yake wana hali gani? Kifo ni fumbo. Mungu mpokee huyu mtoto kama sisi tulivyozaliwa.
Hotel gani?Vipi hifadhi ya Chato wanyama wa Serengeti watarejeshwa na Hotel ya nyota 3 sijui itakuwa Vipi.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Na hiyo miradi yote ipate corona na ikafe mbele....
Mambo ya Jiwe yametuacha tukiwa na maswali mengi sana 🤣 🤣Uwanja wa ndege, hospitali ya rufaa, chuo cha VETA, mbuga, kulikuwa na mpango wa uwanja wa mpira nk nk.
Je, Serikali itaiendeleza?
akamvua na ubunge.na alitoa amri kwamba marufuku tundu lissu kuletwa dar bali akazikwe Singida haraka Sana[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] badala yake ametangulia yeye[emoji2][emoji2]Mtoto wa mtu aliyepigwa risasi 38 kisha akaambiwa katoroka bila taarifa kwa Spika aliniuma sana.
Huyu si kajifia tu, mbona watu wanakufa kila siku na silii
Kwani mama Samia alikuwa anashirikishwa, kila kitu alikuwa anafanya yeye nasikia hadi mama Samia akawa analalamikaKwani hakuyapanga na Rais mteule Samia Suluhu Hassan?
Sasa hivi tunahamia Zanzibar.Uwanja wa ndege, hospitali ya rufaa, chuo cha VETA, mbuga, kulikuwa na mpango wa uwanja wa mpira nk nk.
Je, Serikali itaiendeleza?
Haiwezi kutekelezwa kama haipo kwenye mpango wa Taifa. We need do whatever was rightful and on planning.Point yangu inabase kwenye jinsi ambavyo viongozi wa serikali walikuwa wanaitetea hiyo miradi, najiuliza je wataiendeleza?
Hivi Lissu enzi zile anateseka alikua mtoto wa mbwa? Jaman tusijifanye wasahaulifu so far wote wapitaji ila kuna dude lipo limevimba mashavuJamaniiii huyu baba ameniumaaaaaa, achilia mbali mambo ya siasa huyu ni mtoto wa mtu, ana mama jamani, mama yake ni mzeee sana[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] mama yake atalia sana, huyu sio Rais tu bali ni mtoto wa mtu. Ana familiya ana watoto.
Sasa kama mimi nalia hivi huko familiya yake wana hali gani? Kifo ni fumbo. Mungu mpokee huyu mtoto kama sisi tulivyozaliwa.
Mama wa Been Saanane, Azory na wengineo waliopotea na kupatikana wakiwa wameshakufa na ambao hawakupatikana kabisa waliambiwaje?Nimeshindwa kulala hadi nalia machozi. Hivi nyie mnajua mtoto wa mtu anauma kiasi gani? Mama yake ataambiwa nini yule mzee??