Idrisa1510
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 276
- 444
Unakuwa mwalimu pure wa Science katika masomo mawili utakayochagua ukijiunga chuoni.Msaada wa maelezo. Nimechaguliwa chuo kikuu Dodoma kwa kuchukua Bachelor of science with education.
Sasa sielewi baada ya kuhitimu nitakua mwalimu (pure teacher) au kuna sehemu nyingine nitafit. Na je chuoni nitasoma masomo yapi?
A-level nilichukua PCB na kufaulu kwa C flat. Ndoto zangu ilikua kusomea masuala ya afya ingawaje hatma yangu imeishia hapo.
Mwenye welewa juu ya suala hilo anipatie msaada wa maelezo.
Niliweka kujaza nafac ambayo haikupaswa ibaki wazUnakuwa mwalimu pure wa Science katika masomo mawili utakayochagua ukijiunga chuoni.
Lakini kwanini uaply kitu usichokifahamu?
Uamuzi ni wako kusoma education au kwenda chuo kuomba kuhama course japo inahitaji uvumilivu mana kuna procedures nyingi za kufata.Niliweka kujaza nafac ambayo haikupaswa ibaki waz
ShukraniUamuzi ni wako kusoma education au kwenda chuo kuomba kuhama course japo inahitaji uvumilivu mana kuna procedures nyingi za kufata.
But inawezekana ukabadili course iliyopo ktk chuo husika lakini ni lazima uwe na sifa za kutosheleza kuhamia course husika.
Kila la kheir kijana.
Ukweli kila asomae PCB ndoto zake nikuwa Doctor inapogoma mtu anaamua kuangalia kwingineko na hata kama huelewi.Msaada wa maelezo. Nimechaguliwa chuo kikuu Dodoma kwa kuchukua Bachelor of science with education.
Sasa sielewi baada ya kuhitimu nitakua mwalimu (pure teacher) au kuna sehemu nyingine nitafit. Na je chuoni nitasoma masomo yapi?
A-level nilichukua PCB na kufaulu kwa C flat. Ndoto zangu ilikua kusomea masuala ya afya ingawaje hatma yangu imeishia hapo.
Mwenye welewa juu ya suala hilo anipatie msaada wa maelezo.
PCB one ya tisa kajaza kozi kujaza nafasi isibaki wazi.Niliweka kujaza nafac ambayo haikupaswa ibaki waz
Ukikubali kuisoma hiyo cozi utaishia kuwa cheap labourMsaada wa maelezo. Nimechaguliwa chuo kikuu Dodoma kwa kuchukua Bachelor of science with education.
Sasa sielewi baada ya kuhitimu nitakua mwalimu (pure teacher) au kuna sehemu nyingine nitafit. Na je chuoni nitasoma masomo yapi?
A-level nilichukua PCB na kufaulu kwa C flat. Ndoto zangu ilikua kusomea masuala ya afya ingawaje hatma yangu imeishia hapo.
Mwenye welewa juu ya suala hilo anipatie msaada wa maelezo.
Imaskini mbaya sana. Ungekuwa na pesa ugesoma course unayotaka chuo chochoteMsaada wa maelezo. Nimechaguliwa chuo kikuu Dodoma kwa kuchukua Bachelor of science with education.
Sasa sielewi baada ya kuhitimu nitakua mwalimu (pure teacher) au kuna sehemu nyingine nitafit. Na je chuoni nitasoma masomo yapi?
A-level nilichukua PCB na kufaulu kwa C flat. Ndoto zangu ilikua kusomea masuala ya afya ingawaje hatma yangu imeishia hapo.
Mwenye welewa juu ya suala hilo anipatie msaada wa maelezo.
Uwalim africa hovyoUkikubali kuisoma hiyo cozi utaishia kuwa cheap labour
Nenda chuo kapambane ubadilishe course ikishindikana ni bora uhairishe mwaka hadi mwakani uapply course nyingine ya maana na sio ualimu
Nawashangaa sana vijana wa sasa kuchagua kusoma ualimu, ukihitimu hapo utaishia kuwa mwalimu wa tuition dogo
Aombe vyuo vya private atapataPCB one ya tisa kajaza kozi kujaza nafasi isibaki wazi.
Kama nnakuona jinsi utavyokua unajuta darasani huku vumbi la chaki likiingia machoni!!
Ivi ulishakua na malengo ya kusomea ualimu? Kwann usingoje uombe mwakani md?