mwenda wazimu
JF-Expert Member
- Feb 20, 2017
- 819
- 1,283
Pole sana aliyezuia yuko ikulu na mkewe,mpigie simu umueleze kilio chako.Poleni na majukumu wana jf
Tangu serikari izuie swala la huamisho wa watumishi kumekuwa na wakati mgumu sana kwa watumishi walio funga ndoa,ndoa nyingi zimepoteza muelekeo,si zani kama serikali inawatendea haki watumishi hawa,Tafuteni namna ya kuwasaidia
Sote tunajua ndoa ndo chimbuko la taifa la kesho,wote tunajua athari za kulea watoto na upande mmoja wa mzazi
TAFUTENI NAMNA JAMANI, NYIE MKO NA FAMILIA ZENU AMTAKI KUJUA YA WENGINE?!!!!
sio mimi ila nawaonea huruma hawa watanzania wenzetu tunaona wanavyo pata shida uku mtaaniPole sana aliyezuia yuko ikulu na mkewe,mpigie simu umueleze kilio chako.
WAACHE KAZI AU?Hama na familia yako tu
Hapana...inategemea na mwenza wako kama na yeye ana kazi au la...kama hana, unahama kwa kufuata utaratibu wa wizaraWAACHE KAZI AU?
BUNGENI NDO WANAVYO JIBU ILA UKI ENDA TAMISEMI NI ADITHI ZA TUNASUBIRI MAEKLEKEZO
BUNGENI NDO WANAVYO JIBU ILA UKI ENDA TAMISEMI NI ADITHI ZA TUNASUBIRI MAEKLEKEZO
kama unakumbuka wanamajina ya walimu walio omba kuhama na wakasema awatapokea maombi mpya mpaka yale walio zuia yafanyiwe kazi sasa si watangaze ayo majina watu wa hame
Kwa heshima tu naomba nitofautiane nawewe. Upendo wa ndoa na kugandana kama kumbikumbi ni athari za utandawazi tu,na maisha ya kufikirika. Kuishi mbali kunawajenga ktk uvumilivu,ubunifu na kuwa na upendo usiochacha,.inapunguza migongano pia.Poleni na majukumu wana jf