bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,376
- 3,977
Hatma ya ccm kama itashindwa ni kitakua chama pinzani.unaulizaje swali la kitoto kama hili?
Hatma ya ccm kama itashindwa ni kitakua chama pinzani.unaulizaje swali la kitoto kama hili?
Halafu bao la mkono bafuni si kwenye uchaguzi!!!!nini hatma ya fisiem endapo bao la mkono litashindikana?
Sasa hilo swali lako la kiutu uzima unadhani chadema ikishindwa itakuaje, basi CHADEMA itakua kampuni
Hatma ya ccm kama itashindwa ni kitakua chama pinzani.unaulizaje swali la kitoto kama hili?
Akili za kuambiwa changanya na zako kaka. Aliyekwambia CHADEMA wakishindwa ndio mwisho wa upinzani Tanzania kakudanganya na wewe ukayachukua kuchwa kichwa kuleta umbea wako wa Lumumba. CHADEMA iko imara mpk kesho.
Wazee wa mihemko.Hata lumumba penyewe sipajui mimi.
Sasa hilo swali lako la kiutu uzima unadhani chadema ikishindwa itakuaje, basi CHADEMA itakua kampuni
Sasa kama haupajui utumbo wa nini? Wewe unashindwa kujiuliza swali dogo tu la darasa la kwanza? Wewe umeona CHADEMA ndio chama tawala nini mkuu? Au ndio mara ya kwanza wapinzani kushiriki uchaguzi, kwamba wakishindwa itakuwa ndio mara ya kwanza au? Mimi nadhani swali lako ulitakiwa ujiulize je CCM ambao wako madarakani wakishindwa itakuaje. Maana CCM ndio chama tawala na chaguzi zote huko nyuma tangu 1995 wamekuwa wakishinda. Kinyume na hapo ni umbeya tu wa Lumumba. Tanzania mpya inakuja!