iv walimu waliomaliza arts na tunaosomea arts mwisho wetu ni nini,,mana siku ya maafali ya mwaka wa 3 apa DUCE princpal wa chuo alimwambia mkuu wa chuo jakaya m kikwete kua wanatufundisha ujasiliamali ili tukajiajiri......SIJUI AJIRA ITAKUAJE MANA HALI NI MBAYA CHUO KIZIMA KILA MTU ANAFANYA BIASHARA NDOGO NDOGO...TZ ARTS WAMETUKATISHA TAMAAA..