Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,676
- 126,840
Hivi karibuni kumeshuhudiwa kuongezeka kwa matumizi makubwa ya pombe kali, hususa kwa vijana kati ya miaka 15 mpk 30, kubeti, uvutaji bangi, mirungi, movi za hovyo, miziki ya hovyo n.k, kama taifa tutegemee nini haswa?
Vijana wengi sahivi hawataki kazi wala hawana nguvu za kufanya kazi, ni wachache sn wanaokwepa huu mtego, hatuoni kama kuna hatari huko mbeleni?
Vijana wengi sahivi hawataki kazi wala hawana nguvu za kufanya kazi, ni wachache sn wanaokwepa huu mtego, hatuoni kama kuna hatari huko mbeleni?
- Kutakuwa na wagonjwa wengi sana wa figo, ini na mapafu.
- Taifa linapoteza nguvu kazi pamoja na walipa kodi.
- Mmomonyoko wa maadili kwenye jamii unashuka kwa kasi sana.
- Kuongezeka kwa wizi mitaani, n.k.