Be careful na wachina. Wapo hapa kwa kuwa mna hizo natural resources to satisfy thirsty for their manufacturing sector. Hayo madini yakiisha, kabla ya jua kuchomoza watatoweka na kuwaachia mashimo matupu.Ndugu yangu wanajigamba kuwa wametusaidiwa sana hao wazungu wa Magharibi kwa kile wanachokiita msaada na sisi kuamini kuwa ni msaada kwa miaka mingi zaidi ya hamsini (50yrs) toka tupate uhuru hadi miaka ya hivi karibuni. Hiyo siyo kweli jaribu ukifanya utafiti na tathimini ya kina utakubaliana na mimi kuwa wametunyonja vya kutosha. Wazungu wa nchi za Magharibi ni wazuri kwa maneno na uwekezaji wao kwa harakaharaka umegota (umeshindwa kumnufaisha Mwafrica) na malengo yake siyo yale tuliyokuwa tunaaminishawa ya kwamba ni kutusaidia kuondoa umasikini. Hawa ndio wawekezaji waliotumia ujanja wao na kuwarubuni wanzetu tuliowapa dhamana ya kutuwakilisha na kusaini mikataba isiyo na kichwa wala miguu ili liko wazi, Wawekezaji wanaotupa loyalty au gawiwo la 3% kwa kweli si washirika wa kweli. Hawa ndio wawekezaji wanaopewa kandarasi za kujenga barabara na kujilipa mamilioni ya fedha kwa kuleta vifaa tu na kukaa ofisini, huku Mtanzania anayepiga mzigo wa kuoperate magrader akiambulia 150,000 kwa mwezi ( Jana naamini uliangalia taarifa ya habri ya TBC ya saa mbili ). Si Tanzania tu bali nchi nyingi za Africa zimegundua rafiki wa kweli ni Mchina kwani uwepo wake au slogan yake kwamba "Going in Africa" ni neema na matokeo yake yameshanza kuonyesha matunda mazuri kwa muda mchache tu. Angalia miundo mbinu na hata uwekezaji wake kwa nchi za Africa ni positive au kwa maneno mengine Mchina anayo strategies za win win situation lakini hao wazungu wa nchi za Magharibi ni win lose situation wakati huo Mwafrika akiwa amelose na wenyewe wamewin.
Nuimetembelea nchi mbalimabali za Europe na USA nimekuwa NY na Jersey state uwezi amini kwa kile kilichoko kwao na hiki tunachobaki nacho, maana yake ni kwamba kwa miaka mingi Waafrica tumekuwa tukijengwa nchi za magharibi bila ya sisi kujua.
Tuwajaribu Wachina naamini ndani ya miaka kama 20yrs tutaona kumbe tulichelewa kumkaribisha huyu mshirka wa kweli.
Asante nitarudi baade kama itabidi.
Ndugu yangu wanajigamba kuwa wametusaidiwa sana hao wazungu wa Magharibi kwa kile wanachokiita msaada na sisi kuamini kuwa ni msaada kwa miaka mingi zaidi ya hamsini (50yrs) toka tupate uhuru hadi miaka ya hivi karibuni. Hiyo siyo kweli jaribu ukifanya utafiti na tathimini ya kina utakubaliana na mimi kuwa wametunyonja vya kutosha. Wazungu wa nchi za Magharibi ni wazuri kwa maneno na uwekezaji wao kwa harakaharaka umegota (umeshindwa kumnufaisha Mwafrica) na malengo yake siyo yale tuliyokuwa tunaaminishawa ya kwamba ni kutusaidia kuondoa umasikini. Hawa ndio wawekezaji waliotumia ujanja wao na kuwarubuni wanzetu tuliowapa dhamana ya kutuwakilisha na kusaini mikataba isiyo na kichwa wala miguu ili liko wazi, Wawekezaji wanaotupa loyalty au gawiwo la 3% kwa kweli si washirika wa kweli. Hawa ndio wawekezaji wanaopewa kandarasi za kujenga barabara na kujilipa mamilioni ya fedha kwa kuleta vifaa tu na kukaa ofisini, huku Mtanzania anayepiga mzigo wa kuoperate magrader akiambulia 150,000 kwa mwezi ( Jana naamini uliangalia taarifa ya habri ya TBC ya saa mbili ). Si Tanzania tu bali nchi nyingi za Africa zimegundua rafiki wa kweli ni Mchina kwani uwepo wake au slogan yake kwamba "Going in Africa" ni neema na matokeo yake yameshanza kuonyesha matunda mazuri kwa muda mchache tu. Angalia miundo mbinu na hata uwekezaji wake kwa nchi za Africa ni positive au kwa maneno mengine Mchina anayo strategies za win win situation lakini hao wazungu wa nchi za Magharibi ni win lose situation wakati huo Mwafrika akiwa amelose na wenyewe wamewin.
Nuimetembelea nchi mbalimabali za Europe na USA nimekuwa NY na Jersey state uwezi amini kwa kile kilichoko kwao na hiki tunachobaki nacho, maana yake ni kwamba kwa miaka mingi Waafrica tumekuwa tukijengwa nchi za magharibi bila ya sisi kujua.
Tuwajaribu Wachina naamini ndani ya miaka kama 20yrs tutaona kumbe tulichelewa kumkaribisha huyu mshirka wa kweli.
Asante nitarudi baade kama itabidi.