Nini hatima ya Lipumba vs Maalim Seif

Ndugu wanajavi, kinacho endelea saiz ndani ya cuf, ni dhahiri kabisa kuwa vita hii inayoendelea inalengo kubwa la kubadiri angenda ya cuf zanziber, kinacho fanyika kupitia profess L ni kuwafanya cuf kujikita zaidi katika kutatua mgogoro dani ya chama na kusahau angenda zao juu mgogoro kati yao na SMZ ,kupitia profesa kwa kuwahamisha kimawazo viongozi wa cuf kwenda kujikita kutatua mgogoro ndani ya chama na Cuf watakapo kuja kushituka tayari Ccm wamesha win, na profesaa kujifanya kazidiwa na kukaa pembeni,

hapo tayari kazi aliyo tumwa itakuwa imeisha na akisubili huruma za Mkuu kumutafutia kazi nyingine kama MLEMA,na atakuwa ameisaidia SMZ kutatua mgogoro wao na cuf kwa njia rahisi kabisa, na cuf kukubali yaishe.

HILO NDO LENGO KUU LA TIMU KUUU ILIYO NYUMA YA PROFESA INAYO MTUMA NA ILIMUTUMA KURUDIA KITI.
 
Ambao walikuwa hawamjui sefu sasa lipumba kawafungua maskio malimu sefu ni tapeli wa siasa hafai kabisa.
 
Mbona chadema mligoma kuwaachia cuf ktk majimbo mliokubaliana, yakiwemo segerea, tabora kwa sakaya na
majimbo ya mtwara
 
Mbona chadema mligoma kuwaachia cuf ktk majimbo mliokubaliana, yakiwemo segerea, tabora kwa sakaya na
majimbo ya mtwara
soma vzuri uelewe mtu akicomment.

afu kwa hio mtu akitaja lowasa bila kumponda lazima n chadema?!!
 

Hapa kidogo napata taabu kuwaelewa hawa wanaojiita wachambuzi wa siasa

Kwani Lowassa ni mwanachama wa CUF au CHADEMA?

Iweje mwnachama wa chama kingine awe chanzo cha mgogoro wa chama kingine?

Na mbona uchaguzi ulishapita? Mimi nafikiri Edward Lowassa angekuwa ni chanzo cha mgogoro Chadema, ingeleta maana kidogo Lakini si ujinga huu hata kidogo tunaolishwa!! .

Lakini Chadema kuko shwari na wanaishi na kuendelea vyema na mwanachama wao huyo. Sasa huko CUF Lowassa anaingiaje tena?
 
lipumba hana maadili ni fisadi kwanza alitoroka na michango wa wabunge wa CUF, pili alinunuliwa na membe kwa pesa haramu za marehemu Gadafi yy akasingizia nafsi inamsuta lakini mwenzake Slaa akawa hana cha kusema mpaka mwakyembe akaenda Serena Hotel kumfundisha cha kusema, Profeselii lipumba, kitila na phd slaa ni wasomi feki kwa sababu Madalali wa siasa wanaowarubuni wengi ni darasa la saba hata boss wa kikundi cha kuhujumu ukawa na upinzani kwa ujumla ni form six Div zero, jiulize mtu anajiita msomi alafu anarubuniwa na watu ambao si wasomi !!' Hao watu njaa ndiyo zinawasumbua hawana lolote, lowasa si sababu ya wao kuleta fujo kwani hakuna fedheha yeyote ilibaki ukawa kwani ndani ya ukawa ndipo CUF imevuna wabunge wengi madiwani utitiri na wenyeviti wa serikali za mitaa, kipindi lipumba akiwa Mwenyekiti CUF kupata wabunge ilikuwa jambo gumu sana kwa kifupi lipumba alikuwa Nuksi ndiyo maana amerudi na sumu wengi wamemshitukia hata wale wanaomshabikia ni wajinga wajinga wenye njaa kama yy.
 
Lipumba anatapa tapa amekuwa mjinga kupitilza yaani kwa sasa kichwani kabakia na akili ya darasa la pili tu
 
Ni makosa makubwa kuendelea kumu address Lipumba kama mwenyekiti wa CUF wakati sio mwanachama. Yeye ni aliyekuwa mwenyekiti

Hapana kamanda bavicha. Lipumba ni Mwenyekiti halali wa CUF.
 
Ambao walikuwa hawamjui sefu sasa lipumba kawafungua maskio malimu sefu ni tapeli wa siasa hafai kabisa.
Tapeli kivipi? Lipumba kavamia Ofisi yy ndiyo mwizi alikuwa Rwanda kuunda kikundi cha kigaidi kagame akamgomea akala pesa alizopewa na membe kwa michepuko zilipomalizika amerejea Tz akakaa na Madalali wa Siasa wakabuni mladi wa kula pesa za CCM ili alete fujo CUF, sasa anakesha kwa waganga wa kienyeji yy anajiita profesa lakini ni mshikina hatari hii inaleta picha gani?
 
MAPROPES UCHWARA PUMBA WACHUMIA TUMBO TU.
WASALITI WAKAFIE MBALI NA WAUNGANE NA TEAM YAO INAYO WASAPOTI
 
Hapana kamanda. Mkumbo ni mchambuzi makini sana.
Watu wanaojiita maprofesa Tanzania ni shiiiiida !! Cheki matendo Yao hayaendani na huo Usomi wao, maprofesa wa Tanzania ni tofauti na maprofesa wa nchi zingine
 
Miongon mwa maprofesa wasio jierew huyu ni namba moja anataka kutugombnisha kwa kipenda kwake madaraka bila kuyaweza iv lipumba angesimama uraisi ukawa hata kula milion tungepata?
Tusingepata Mr Stev.
 
Simulizi lenye ukweli 100 %
 
Hongereni kwa kuamua kuanika mambo yenu na ni ukweli tu ndio utawaweka huru. Endeleeni kupambana mpaka ukweli wote ubaki nje wengine wanajificha yakwao yasionekane.
Tifutifu hili limeonyesha watanzania walikuwa wamewekwa rehani ili watu watimize mambo yao. JPM anacheza kama Mesi kuwakaushia watoe siri zao, what if UKAWA ungeshinda?
 
Kama tumbon hakuna kitu uprof ni kaz bure
 
"TUTAJITOA KWENYE HUU UKAWAA" prof.Ibrahim h lipumba shujaa wa unyanyembe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…