Niuzungumzie utu kama ambavyo wenzetu wanauita dignity
Teh teh teeehMkuu nimeipenda post yako yote but I am interested hapo ulipo-translate utu kama "dignity". Hapo nyumba Mkuu Paulss ali-translate utu kama "humanity" Sasa ili ku-clear any doubt, which is which? Au "dignity" na "humanity" is the same thing?
Mkuu Gaijin, naomba nisikujibu moja kwa moja ila niulize swali ili litujengee uelewa mpana zaidi
Kwa nini sheria zipo? Je si ili kulinda "utu" wa wananchi/wanajamii wa nchi/jamii husika?
hebu tusaidiane mtazamo hapo kwanza ndiyo tuone tunachukua njia gani katika kuamini hili
At the same time, kuna watu kama Kant on "Morality and Dignity" ana-define kazi kubwa ya morality kama ku-foster dignity. Kama "dignity" ni utu kama ulivyo-translate, does it also mean that morality inasaidia kulinda utu? Najua Gaijin ataniuliza na morality ni nini? lol.
Mkuu nimeipenda post yako yote but I am interested hapo ulipo-translate utu kama "dignity". Hapo nyumba Mkuu Paulss ali-translate utu kama "humanity" Sasa ili ku-clear any doubt, which is which? Au "dignity" na "humanity" is the same thing?
Mette Lebech anaesema Dignity is the quality of worth (status/values) and honour (respect) intrinsic to every person which establishes the basic boundaries of humanity
Humanity
NIkimsoma Simon Rees kwa undani ananiambia kuwa humanity ina-describe abilities and characteristics of human beings in whole which defines our civil rights and social causes - yaani akiwa na maana ya how one is to be treated by or to treat others
Dignity:
Social Care Institute for Excellence wanasema Dignity is a state, quality or manner worthy of esteem or respect; and (by extension) self respect……….. it is a kind of system or setting which supports and promotes, and does not undermine a person's self respect regardless of any difference.
Royal College of Nursing wanasema Dignity is concerned with how people feel, think and behave/act in relation to the worth or value of themselves and others. To treat someone with dignity is to treat them as being of worth, in a way that is respectful of them as individuals
Sheria inayozuwia ndoa za watu wa jinsia moja inalinda utu wa nani? ....
You got that one right......who defines morals? lolz
What is your thoughts on "Might makes right"?
Gaijin
Utu wa binadamu, kuwa its against the nature
Kumbuka si kila sheria inalinda utu na si kila utu unatamkwa na sheria
Nafikiri tuna-define morality kulingana na experiences and beliefs zetu. Hizo experiences na beliefs zinakuwa shaped au influenced na jamii tunayoishi, our religious and/or spiritual path, nk. Lakini at the end of the day, we all define our own morals. Of course, wapo watakaosema kuwa Mungu/Allah ndiye anaye-define morality, lakini this may ignore the fact that those who argue such have chosen their own faith and therefore have chosen to accept God's definition of what is moral.
But kama kuna mgongano kati ya morals za watu wawili, who gets to decide who "wins"? If, by adhering to your moral code, you violate someone else's right to live their life as they see fit, have you overstepped your bounds?
Well said mkuu....tumeshakuwa hadi na sheria za kunyonga (which i declare it is against humanity) mpaka ilipofika mahali kelele za watu kupigania "utu"/"ubindamu na haki ya binadamu kuishi, ndipo inafahamika kuwa ni kosa na sheria hizo sasa zinafutwa
Kwa hiyo hapa mkuu unataka kusema zamani tulipotnga hizo sheria utu wetu ulikuwa chini, na sasa tumenyanyua viwango vya utu wetu na tumeamua kujirekebisha?
Before long tutasema tulipozuwia ndoa za jinsia moja ilikuwa ni kinyume na humanity kwa sabau wale pia wana haki ya kutambulika kisheria kama binaadamu wengine wanavyotambulika.
Absolutely....ukimsoma mkuu EMT hapo juu anazungumzia kuwa kukua kwa "Utu"
Ukiniuliza mimi nitasema sio "kukua kwa Utu" ila "Kukua kwa Ufahamu wetu juu ya Utu wetu"....
Kwa nini nasema hivi? Hapa nitarudi kwa Mkuu Paulss anaposema "utu" wetu ni natural thing....Ulikuwepo na upo na utazidi kuwepo maadam mwanadamu anaendelea ku-exist, sema tu tatizo ni kuwa kuna mahali "TUNAPIGA UTASHI WETU KUFULI" na kuutupa utu wetu "hata mavumbini"
Kimsingi wenye nguvu ndio wanao define morals za jamii husika .
Utu wa shoga jee haupaswi kuheshimiwa? lolz
Mkuu kazi ndiyo heshima, ndiyo thamani ya utu wako japo katika definition ya utu tunasema mtu habaguliwi kwa msingi wowote (hata kama hana kazi) but if we are back in relality, (KA MFANO RAHISI TU) HUNA KAZI, HUNA KIPATO THEN HUNA FEDHA YA KUNUNUA NGUO NA UTATEMBEA HUKO BARABARANI KALIO WAZI....Umedhalilisha ule utu wako