BradFord93
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 921
- 2,246
Thanks nduguHiyo hiyo ndio itakufikisha mbali.
Kopesha wanawake ufilisike
Noted nduguShikilia hapo hapo uliposhika".... ukiachia tu " Itakula kwako
Thanks mkuuhii tabia huwa naipata nikianza ishiwa hela kwa mfano nilikuwa na buku 10 ikibaki buku 3 nakuwa mgumu sana maana naona jahaz linaanza zama
kama ww inakupata ukiwa na hela ya kutosha iendeleze maana ndo mwanzo wa mafanikio
Sishangai....darasa la 7 wapo mtaani....!!noted lknnakushauri utumie dawa za mitishamba, itakusaidia.