HadithiZaRuvuly
JF-Expert Member
- Apr 16, 2014
- 369
- 114
Kutokujitambua na kuwa na roho mbaya zaidi ya eziraelwewe unahisi sababu ni nini mkuu
Kwaiyo hapo umeorodhesha hizo tatu umeona ndio umemaliza?Idadi ya wanawake wakatili wanaoua viumbe vilivyoridhiwa na mungu (kutoa mimba) inazidi kukua swali ni je sababu inayofanya watoe mimba ni kutokana na UGUMU wa MAISHA au WANAUME waliowapatia mimba hizo ?
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji106]Kwaiyo hapo umeorodhesha hizo tatu umeona ndio umemaliza?
Au unataka kujua sababu gani moja ya pekee kwa wanawake wote wanaotoa mimba.. bila kujua kila mmoja anasababu zake tofauti?
Umefikiria kuhusu wale waliopo kwenye ndoa lakini bado wanazitoa?
au hata ambae hajaolewa ila hataki kuolewa na mimba hataki (na hata akipata anatoa) ingawa anajiweza kimaisha kwa ujumla..
Inaonekana umeshindwa kuliwasilisha wazo lako kwa maandishi.. rekebisha upate jibu kwa urahisi
nnavyopenda kula bila kondomu..Kutokujitambua na kuwa na roho mbaya zaidi ya ezirael
Si kweli kwa upande wangu siwezi chanzonnavyopenda kula bila kondomu..
mimba mnakataa...
mtu akijikakamua alee mnamuita'single mom'na kashfa kibao
hyo dhambi ya kuua atajibu na Mungu wake..japo sipendi sana hicho kitu!
Ila wanaume ndo chanzo
100000000000007579000000000....Kwani takwimu ya watoa mimba ikoje mpaka sasa?
Kwa upande wangu siwezi kuwa chanzonnavyopenda kula bila kondomu..
mimba mnakataa...
mtu akijikakamua alee mnamuita'single mom'na kashfa kibao
hyo dhambi ya kuua atajibu na Mungu wake..japo sipendi sana hicho kitu!
Ila wanaume ndo chanzo
ni wewe vs thread zoote za kukashifu singo mamazKwa upande wangu siwezi kuwa chanzo
Sijamkashifu mtu hapa mnakera sana kutoa mimba mungu anakuonani wewe vs thread zoote za kukashifu singo mamaz
Kavu tamnnavyopenda kula bila kondomu..
mimba mnakataa...
mtu akijikakamua alee mnamuita'single mom'na kashfa kibao
hyo dhambi ya kuua atajibu na Mungu wake..japo sipendi sana hicho kitu!
Ila wanaume ndo chanzo
Sawah barba lakini hiyo haiwez kuwa chanzo cha kuua roho inauma sana wakat inatoka daaahNi kitendo kigumu sana Ambacho mtu akikifanya humuumiza siku zote za maisha yake.
Kunasababu nyingi tu kama kukataliwa na muhusika,kuchepuka afu ukajikuta mjamzito hapo hujui ni ya Nani,kupata ujauzito wakati mtoto ni Mdogo sana n.k
Ohooo na shem yumoEbu ngoja nisubiri nione kama sheji/wifi yenu wa zamani atapita hapa na aseme lolote juu ya tuhuma hii inayo shabihisna nae....
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Wape ukwelisababu nimoja2, kutanguliza maslah yakitu kimoja au zaid kuliko mimba/mtoto. Ila sasa swal nihili kwann unafanya ngono ktk mazngira yatayokupelekea upate mimba hali yakuwa haupo tayar kubeba mimba? au ndio tuseme mazingira yautoaji mimba yamekuwa rahisi kias hicho? Tujiulize vip ingekuwa ukibeba mimba ndio basi tena yaan swala lakutoa lisingekuwepo je wanawake wangekuwa wanazitega kias hiki?