Nini hasa hutuvutia?

Ikumbukwe hawa watu tuliletewa kama Maua. Hakuna ubaya tukivutiwa Na kusifu kazi njema ya Mungu. Hakuna ubaya kusema hapa Mungu alifanya kazi njema. Tuendelee kuwasifia ikibidi jamani

Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app

balaa lake sasa wanasema ukiangalia yakwanza yapili dhambi
 

hahahaha wengine wakali atanuna week
 
aaaaa griiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hiyo wala hainistui fupi sana jamaa
[emoji115] [emoji115]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
 
Wanaume wengi wenu kwanza kabisa huleweshwa na muonekano wa nje wa mwanamke.... Mengine yanafuata

Cc Smart911
 
[emoji115] [emoji115]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums

jamaa unapowakuta somewhere wadada wa aina hiyo ghofla nini hutokea akilin
 
jamaa unapowakuta somewhere wadada wa aina hiyo ghofla nini hutokea akilin
Like charges repel, unlike charges attract[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
 
Like charges repel, unlike charges attract[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums

impressive
 
Mtoa mada ananikumbusha vile watu wanavyokutoleaga macho tukiwa out...

Cc: mahondaw
 
Mtoa mada ananikumbusha vile watu wanavyokutoleaga macho tukiwa out...

hahahahahah inawezekana hata wewe tushawahi kukutana nikakushangaa nakukuomba nikupe lift yaani wadada wenye wowowo wanakula raa sana unajisikia tu kumpa lift
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…