Walio wengi wanavutiwa na wa hivyo kwa ajili ya starehe ila mwisho wa siku wanaowaweka ndani ni wenye maumbo ya kawaida.
Mi huwa hata sina presha kwa kunyimwa hiyo kitu. Teh teh teh.
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mmeshajijengea akilini mwenu ndio maana.ila mjue mnatutesa kaka zenu
Ndio tulivyoumbwa mkuu,yaan sifa ya mwanaume ni utofauti wa kimaumbile na wao,na zaid tunataman kabla ya kupenda.. So unaooona boflo linasasambua barabaran mara paaaaaah mshtuko unatoka kwenge zile nyuz za ubongo zinapelekea kuendelea kutazama...
Acha kucopy na kupaste,shughulisha kichwa chako kidogo.Ukitaka mtu mjinga asikuibie Pesa zako,zifiche kwenye Kitabu.
Hatuwez kubadili asili,ni sawa na sisi tuanze kuzaa,,haiwezekan,,tuendelee kuangalia tu mana tunayapa macho na ubongo furaha ya muda,ila ila ukiwa na mke usiangalie na ukiangalia akashtuka mwambie nataka nikushonee sket kama ile[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]swadadta jamaa sasa nini kifanyike tuone kama kawaida flan ivi
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
sent from my Samsung smart tv using JamiiForums