Nini faida ya kuroot simu ya android

Nini faida ya kuroot simu ya android

2.3.6 mkuu

Kuna program inaitwa oneclickRoot kutoka amdroid download kama una pc na install kwenye hiyo pc. Nirahisi kutumia wametoa na list ya simu.zinazo weza being rooted. Check itakusaidia unatakiwa uwe na usb for connection,ila ni rahisi zaidi kama ingekuwa 3 nakuendelea. Program ni nzuri,inaondoa risk ya kuharibu simu.
 
Screen capture ndio nini naomba kuelimwishwa

Ni kupiga picha screen ya simu yako, ndo kama zile unaona watu wanatuma kutoka mitandao kama instagram nk.

Ni kupata taswira ya kilichopo kwenye kioo cha simu yako ambapo unakuwa na uwezo wa kuituma au kuitumia kama picha.
 
Swadakta

Terminology hii huitwa jailBreak ukija kwenye Applie devices

yani kuvunja security mechanism na limitation iliopo kwenye simu na ukaweka vitu utakavo we

-all the best

all the best yako ina sound kama, AT YOUR OWN RISK
 
Rooting ni kama formatting ila hapa inakua sio kufuta data ila unaifungua mifumo inayozuia cm yako kukubali kila aina ya installations.. Katika hali ya kawaida cm yko ina mifumo inayo controll/administer installations and other operations sasa ili uweze kugain full control ya usimamizi wa cm yko lazima ufanye rooting hapa unakua free from restrictions and u can operate ur phone at ur choice..!!!!!

Ni simu gani zinahitaji kufanyiwa rooting?
 
Hapa mi natumia Nokia XL, hii cm wameipa uwezo mdogo sana ina kama 1GB na sidhani kama inafika na ki-internet sio nzuri sana, ivo nami naweza kui-root!?
 
Ni kupiga picha screen ya simu yako, ndo kama zile unaona watu wanatuma kutoka mitandao kama instagram nk.

Ni kupata taswira ya kilichopo kwenye kioo cha simu yako ambapo unakuwa na uwezo wa kuituma au kuitumia kama picha.
Jinsi ya kupiga tafadhal
 
Back
Top Bottom