NINI FAIDA YA KUFANYA MAPENZI

nasikitika vijana wa facebook wametuingilia hadi humu
hz post nilikua naziona facebook tu zikanilazim nijitoe kule nijikite na jf
sasa kuna haja ya kutafuta mbadala wa jf

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Asaalam ndugu na Jamaal!! Naomba kutambua ni faida zipi za kufanya mapenzi ingali mi na miaka 21. Nategemea kuanza mapenzi nikimaliza chi0!! Na zipi ni hasara za kutokufanya mapenzi kwa muda mrefu
Asanteni
63a8befc67a1753f686c86d04b864916.jpg

hizo bangili zinaonyesha wewe mzoefu katika fani :D:D:D
 
Nimecheka sana jmn, kwan kasema mhaya?

Jesus is my saviour and a friend
 
nasikitika vijana wa facebook wametuingilia hadi humu
hz post nilikua naziona facebook tu zikanilazim nijitoe kule nijikite na jf
sasa kuna haja ya kutafuta mbadala wa jf

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Huu sasa ni uchoko

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Ni wazi we in mpagani wa kutupwa, huna dini maana ungekuwa na dini kisha ukaizingatia, swali hili wala lisingekuhangaisha

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom