Nini dawa ya uume kusimama kwa mda mrefu

Punguza frequency ya kufanya mapenzi,
Litapungua kdg kdg na litakwisha kabisa
 
Ivi umesoma nakuilewa thread mkuu [emoji848][emoji848]
 
Maelekezo mengi ila hakuna cha utaalamu wowote pale.

Watalaamu wa biology wanasema kama wewe unaweza kudumu dakika 5,7 hadi 11 kwenye game basi wewe huna tatizo la ngumu za kiume ni wasi wasi wako tu.

Wanaume wengi wanadhani wana matatizo ya nguvu ya kiume lakini kumbe ni wasi wasi wao tu kwa kusoma ma stori ya huku mtandaoni wanako simuliana vijana.

Na kama kweli analo, basi hata haitaji kwenda hospitali bali ni kubadi life style tu na lishe mbona atakaa sawa.

Huenda tu ni muathirika wa nyeto, X videos au kukosa mazoezi ya viungo.

Lakini akiacha hivo vitu na kuanza mazoezi na kula mboga za majani kwa wingi na matunda mbona anatoboa tu
 
Cha kwanza Sidhani kama kazungumzia nguvu za kiume..
Cha pili Mimi Si mtaalmu wa Biology I am far beyond that Mimi ni Mtaalam wa Afya..(In the medical field)

I know how normal physiology works, so when pathology comes, I know what and how....

Nilichokishauri ni kutokana na maelezo yake kuwa..
Kusimamisha kwa Muda mrefu Mpaka kufika hatua kukereka
(Neno alilotumia kukereka maana yake ni kwamba anakuwa hana hisia Japo maumbile yake yako yanaenda kinyume na yeye)
Then ushauri Niliompa Ulikuwa sahihi wa kwenda hospitali ambapo kulingana na maelezo angechunguzwa na kupewa Huduma kulingana na Tatizo lake..(Kwa alivyoelezea)
Na ndyo maana mwanzoni nikasema kama yuko serious kweli anatatio na sio anatania
 
Umenifanya nimerudi kusoma uzi upya.

Ni kweli kumbe nilielewa vibaya.

Mimi nikielewa kwamba anataka dawa awe anasimamisha mda mrefu, kumbe badala yake ni kinyume chake
 
Yote anatakiwa atafute ushauri wa kitabibu,kwani akisema hivyo yaweza kuwa minyoo pia.
Na ndiyo maana tunashauriwa kutafakari kabla ya kutenda jambo au kujieleza.Si kila jambo ni la kubwagwa hadharani kwa sababu tu unatumia fake id!
 
Nadhani itakuwa delayed ejaculation hiyo mkuu.
 
acha nyeto, utapona
 
njema.
2. Mfumo mzuri wa damu katika mwili mzima.
3. Mtiririko imara wa damu kuingia na kutoka ndani ya mishipa ya uume.
4. Ushirikiano wenye afya kati ya mishipa ya fahamu ya kwenye ubongo (nerves), mishipa ya kwenye uti wa mgongo pamoja na mishipa ya kwenye uume.

Ili mwanaume aweze kuwa imara katika tendo la ndoa, ni lazima mambo manne niliyo yataja hapo juu yawe sawa sawa bila hitilafu yoyote. Kinyume chake, mwanaume hawezi kuwa na nguvu za kiume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…