Mama Confidence
Senior Member
- Sep 5, 2016
- 172
- 144
Habari zenu wana JF....naamini mko salama kabisaa
Jamani hivi psychological torture inatibika?
Psychological torture mfano kwa mtoto, watu wazima n.k
Na pia kama kuna mtu anafahamu sababu za ziada zinazosababisha naomba aniambie nijue zaidi.