Nini dawa ya mpenz Mwongo?

Nini dawa ya mpenz Mwongo?

JosRabit

Member
Joined
May 30, 2013
Posts
12
Reaction score
0
Nakubali katika mapenz kuna kudanganyana ... lakini sasa uongo mwingine una tishia aman ya penz... mfano mpenz wako ana penda sana kudanganya mahali alipo na kitu anacho fanya... sasa dawa yake ni nini?
 
Back
Top Bottom