Trayvess Daniel
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 705
- 1,369
Yaani natumaini umeona jinsi wa Tanzania wanavyotia aibu kwa chuki na kuamua kupigia kura wasanii wa nchi zingine.
Tabu ilianza Kiba aliporudi alitumia maneno ya kuwa yee ni kingi na anataka kiti chake yaani kwa kuwa Diamond yupo juu yeye anataka kumpita.
Diamond hajawahi sikika akiongea mabaya au kutamka mabaya juu ya kiba au kitu chochote zaidi ya kusema kama watu wanataka kushindana nae yeye pia anapata kiki ya kufanya bidii zaidi na kutojisahau. Nadhani hii kitu hata yeye atakuwa anashangaa bidii ya alipofika inatakwa ishushwe na wananchi sababu amepata maendeleo mazuri kwa kujituma kufanya vizuri.
Kiba ibabidi abadilike, maana hata jana alikuwa mjini nilipo na mbwembwe sema wengi tulikuwa na harusi bomba hatukwenda bali walioenda walisema sio inavyokuwaga wa Tanzania wakianua kuhudhuria shughuli.
Inabidi aache kuchochea wananchi kutaka kushindana na Diamond sababu hana cha kuonyesha tangu ametudi.
Tuzo sawa ila akumbuke tuzo hazitoi pesa ya kuishi.
Inasikitisha sana tabia ya wanaoonea wivu Diamond kwa mafanikio hawataki afanikiwe zaidi.
Kiba una uwanja na hata siku moja hakuna msanii nwingine amekuingilia ila uwanjani ulipo wewe ni wewe na sio kwamba wengine ndio watakusaidia sema wakishuka hautapanda, Diamond yuko juu kubali shindana nar tuone mambo kuwa na wewe unataka kupaaa.
We nawe unatuharibia sherehe team kiba hebu kujeni pande hizi woyoooooooooooooooooooooooooooooo, baada ya kuvunja rekodi ya DIAMOND ya 7 KIBA KACHUKUA 8 (NANE) WOYOOOOOOOOOOOOOOOOO na sasa ni mwendo wa kumpigia KURA KIBA KTK MTV AFRICA MUSIC AWARD wera weraaaaaaaaaaaaaaa.

Wanamchukia Daimond humu Kuna makombo ya Daimond ndio maana wanachukia haswaaaa,humu Kuna wema ,penny,jokate makombo
Mambo ya team,ni mifano mbovu na kidhaifa ya kuigwa na baadhi ya watu wajinga na wasio wazalendo.wenye roho ya kwanin!
kweli kabisa...huyu Dinazarde sijui kala maharage ya wapinaomba tutoe comment za kujenga.... Hii thread mwisho wa siku tupate kitu na tufanye ushabiki wenye tija na sio kuua na kujenga uadui.... mwisho wa siku nchi ndo inaonekana ina wananchi wasiojitambua kutwa kutukana mitandaoni na kuvamia page za watu.
Naomba utoe ufafanuzi wa kutosha kuhusu hapo kwenye red.
Ni lini Kiba kachochea wananchi? Na kawachochea kivipi?
Unaposema hana cha kuonesha pia unamaana gani? Diamond ana wimbo gani wa maana wa kushindana na Mwana?
Binafsi nampenda Kiba tokea zamani sana, sikuwa hata na idea ya mitandao ya kijamii kama huu ambao naweza kutoa maoni/kuonesha mapenzi yangu kwake.
Sasa unaposema anachochea wananchi nimekushangaa sana.
Mleta maada nakubaliana nae kwa kiasi fulani maana ametumia busara katika kuwasilisha maoni yake, ila wewe hazihitajiki hata dakika 5 kujua wewe ni mtu wa mrengo gani.