Nini chanzo ????

MWAMUNU

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2011
Posts
870
Reaction score
531
Heshima mbele wakubwa !!
jamani wana jamvi kwa mwenye uzoefu na hii kitu,kuna mtu kila nikimtumia email haipati yaani haiingii kwenye inbox wala sparm, account yangu ni yahoo na yeye yupo yahoo.Nikijaribu kutuma kwa account nyingine anapata,naomba kuwasilisha.
 
jaribu wakati unatuma email compose mpya dont reply,au kama una reply futa ujumbe wa aliyekutumia pamoja na emails zote ambazo zinashare huo ujumbe.
 
He/she might have blocked your your email address. This may be done without user awareness

Login to his/her account and see blocked address list
 
hakikisha hiyo emeil umeiandika kwa ufasaha hasa kama kuna special characters kama _ . - nk wengi huzichanganya hasa - na _
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…