Kilemakyaaro
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 5,050
- 5,118
Ndio ushauri wako???Hizo picha hazina uhalisia maana nimeona huwa wakifika mwaka wa tatu ndo wanaanza kujitambua maana wanaenda mtaani, ila kimbembe mwaka wa kwanza semester ya pili, mwaka wa pili wote na semester ya kwanza mwaka wa tatu
Ulishindwa kuanzisha thread yako????Jamani naombeni mnisaidie suala la elimu bure hapa Tanzania Mimi nilidhani ni bure kweli lkn huku rukwa manispaa ya sumbawanga katika Shule ya msingi chem chem Mwl Mkuu anawagiza wanafunzi kununua kadi za maendeleo je fedha za elimu za elimu bure hazihusu manunuzi hayo na mm mwenyewe watoto wangu wameagizwa. nisaidieni mwenzenu kama hata huko kwenu yapo haya.
Wasiliana na chuo(DOS) atakuwa na majibu yako.Wanaforum registration form inaonsha nmechaguliwa mining lakin kwenye ubao wa wachaguliwa naona niko environmental. VP nfanyeje niliomba mining as no.1and environmental kama chaguo la 2.
think of Fifth year........i have to close my eyes when i think of them (According to the picture)Sasa wale wa fourth year itakuaje?? [emoji53][emoji53][emoji53]
Ki....la....za mzoefu rudia kusoma thread ndio ukae kutapika utumbo humuKWANINI HAUJATAJA UZINZI ? NAJUA NAWE UTAKUWA MZINIFU NDIO MAANA UMEONA UTAJE WALEVI NA WEZI TU
duuh ngoja nije unambie vzrKi....la....za mzoefu rudia kusoma thread ndio ukae kutapika utumbo humu
Umeamua kumpa za uso.Ki....la....za mzoefu rudia kusoma thread ndio ukae kutapika utumbo humu
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Umeamua kumpa za uso.
Black and white.
Unazungumzia kusup tu. Wakati sup ni kitu kidogo sana huko. Nenda na ufanye upuuzi huo uone makuu ndipo utajua udogo wa sup. Utatamani hata ungepata sup mia nane kuliko kile kitakupata. Dhibiti mihemko.... acha kulimbukia chuoni.bhana eeeh msitutishe chuo tutaenda na clubs vile vile tutanenda alafu tuone kama tutasup.........