Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,893
Mrafiki waliokuwa wanakunywa............ NAKUMBUKA TULIENDA DISCO TUKIWA MTC (MBEYA TECH. COLLEGE) ENZI HIZO, TUKA NA VITOTO VYA LOSS (LOLEZA SEC SCHOOL) SASA KITOTO NILICHOKUWA NACHEZA NACHO DISCO KILIKUWA KINAPIGA ULABU.......... SASA KWA KUONA NOMA NAMI NIKAANZA KUKANDAMIZA............BASI TANGU SIKU HIYO NIKAWA KAMA NIMEROGWA VILEEEEEE... MWEEE nifwile nyambala..........Wakuu naomba mnisaidie nini chanzo cha wewe kunywa Redds,value,konyagi,Uhuru,Serengeti,Safari,JB,Sirminoff,wanzuki,Ulanzi,Jack Daniel,Gongo.
Mimi kwanza kabisa rafiki zangu wote walikuwa cha pombe kwa hiyo tukienda baa walikuwa wananiambia kuwa hawataki soda mezani kwa kuwa inaletaa nzi basi wakanishi na kuniambia kuwa haina madhara ndo nikaanza kunywa safari aina ya unyumba,nikahamia kwenye plisner Ice baade konyagi na mwisho nipo kwenye Uhuru na Serengetiserengeti. Kwa mbali saana JB na Siminoff.
We maza wako alikuwa mlevi..........tumboni........???Nimekunywa Pombe tangia tumboni mwa Mama Yangu
Mi hata sijui nilianza lini. Nafikiri tangu nizaliwe.
Kuna mchaga anayejua alianza lini kunywa ze ulabu? Sidhan kama yupo.
Nimekunywa Pombe tangia tumboni mwa Mama Yangu
shukrani, nawe piamnachekesha jamani weekend njema