Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,892
Wakuu naomba mnisaidie nini chanzo cha wewe kunywa Redds,value,konyagi,Uhuru,Serengeti,Safari,JB,Sirminoff,wanzuki,Ulanzi,Jack Daniel,Gongo.
Mimi kwanza kabisa rafiki zangu wote walikuwa cha pombe kwa hiyo tukienda baa walikuwa wananiambia kuwa hawataki soda mezani kwa kuwa inaletaa nzi basi wakanishi na kuniambia kuwa haina madhara ndo nikaanza kunywa safari aina ya unyumba,nikahamia kwenye plisner Ice baade konyagi na mwisho nipo kwenye Uhuru na Serengetiserengeti. Kwa mbali saana JB na Siminoff.