Nini chanzo cha vidonda vya koo?

mbinguni

JF-Expert Member
Jan 2, 2013
2,746
1,051
Nina zaidi ya wiki sasa napata maumivu ya kama kitu kinachoma ndani ya koo upande wa chini.
 
Acha kutumia vitu vya baridi sana yaani chini ya 9°C...pia usiwe ni mpiga deki wa uvinza,pia usiwe ni mpigaji wa kelele sana hasa za mabishano ya mpira au siasa...jaribu kumuona na mganga kwa utaalam zaid
 
Haviwezi kupotea vyenyewe bila tiba yoyote? Asali inaweza kuvitibu?
 
Haviwezi kupotea vyenyewe bila tiba yoyote? Asali inaweza kuvitibu?

Kamuone mganga aka doctor...au wait wataalam zaidi,kwani kila tiba inatokana na hali ya development ya ugonjwa..but acha vitu nilivyosema hapo juu 👆👆👆 kama unavifanya
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom