lazima ukae
JF-Expert Member
- May 15, 2013
- 791
- 417
mimi ni mama sasa! ngoja kinadada waje
Hata wewe unaruhusiwa kuchangia
tatizo hamtugusi gusi vizuriiiii..
Halafu sijui kwa mwanamke aliyezoea mchezo huo akiolewa sijui inakuwaje?.
wanasaga nini? ulitaka wasage bamia ?:A S 465: