Nini chanzo cha mishipa midogo kuonekana mwilini?

Nini chanzo cha mishipa midogo kuonekana mwilini?

Twins love

Senior Member
Joined
Jan 27, 2022
Posts
114
Reaction score
161
Habari zenu wana Jf,

Nimekuwa nikiona kwa baadhi ya wanawake mistari ya mishipa ikionekana hasa miguuni na kwenye mikono, inakuwa imejichora inaonekana kwa mbali Kama misuli hivi.

Napenda kujua chanzo chake ni nini na njia ya kuiondoa, either mazoezi au vyakula gani?

Maana imekuwa ikiharibu mionekano ya wanawake wengi.

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Zinaitwa "Stretch Marks"..

Ni normal body physiology.
 
unazungumzia Kama ile ambayo tunayo sisi wanaume kwenye mikono au miguuni...nakumbuka ilinijaa hasa kipindi hicho cha hustling, ukipata kidogo maisha inapotea kabisa.
 
Back
Top Bottom