Mwamba028
JF-Expert Member
- Nov 15, 2013
- 4,546
- 3,549
Wakuu kwa mwenye kujua chanzo cha tatizo la mdomo kuwa na ladha chumvi chumvi muda wote, yani kila unachokula au kunywa unahis kina chumvi,kuanzia maji,juis, chai na chakula pia kwenye kula kinapoteza ladha kwa 50% na unapomeza ndo husikii ladha kabisa
Hata mate ukimeza yanakuwa na chumvi.
Mwenye ufahamu na tatizo hili tafadhali mana nimejaribu kuchek online sijapata chanzo halisi.
Hata mate ukimeza yanakuwa na chumvi.
Mwenye ufahamu na tatizo hili tafadhali mana nimejaribu kuchek online sijapata chanzo halisi.