UsalitiWakuu,
Nimefanya utafti wangu mdogo kwa takribani miaka miwili,ambapo nimegundua kuwa mahusiano mengi huwa hayadumu kwa muda mrefu
Unaweza ukajiaminisha kuwa hili husiano nitajitahidi iwezekanavyo ili ildumu na lisivunjike,lakini wapi miezi kadhaa tu mahusiano yamevunjika
Wanaume ndio wahanga wa kuachwa sana sana,unaweza kuta umekapenda ka binti sayuni3 kwa dhati kabisa lakini utashangaa kanapoteza focus na wewe,mala niko busy,naumwa nitakutafta,ili mradi tu umuache.
Yamenitokea haya mambo ndo mana naandika hapa,unaachwa bila hata sababu
Wewe unafkiri nini chanzo cha mahusiano mengi kuvunjika(mapema)?
Wasaalamu.
Spare shop somewhere.
Mwanangu tupo na wewe mpaka ukipata manzi anae jitegemea!Kama mimi jana nimeachwa rasmi et kisa nimekataa kumlipia kodi
Mkuu acha tu pia kanitolea maneno ya kashfa na dharau mpaka najiuliza hivi huyu ndio yule mtoto tuliekuwa tukipendana sana🙄Mwanangu tupo na wewe mpaka ukipata manzi anae jitegemea!
Hawanaga shukrani hawa viumbe tena kama ni made in Uswazi basi hakuna lugha hauta isikia mzeeMkuu acha tu pia kanitolea maneno ya kashfa na dharau mpaka najiuliza hivi huyu ndio yule mtoto tuliekuwa tukipendana sana🙄
Yeah ni binti ambae 90% ya maisha yake ameishi bila wazazi na kulala kwenye mageto ya wanaume kwake inaonekana ni kitu cha kawaida ni binti wa miaka 23 lakini inaonekana ana experiance ya mambo ya ngono kuniliko mimiHawanaga shukrani hawa viumbe tena kama ni made in Uswazi basi hakuna lugha hauta isikia mzee