Holoholo-Baba Kijacho
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 6,797
- 13,964
Wakuu,
Nimefanya utafti wangu mdogo kwa takribani miaka miwili,ambapo nimegundua kuwa mahusiano mengi huwa hayadumu kwa muda mrefu
Unaweza ukajiaminisha kuwa hili husiano nitajitahidi iwezekanavyo ili ildumu na lisivunjike,lakini wapi miezi kadhaa tu mahusiano yamevunjika
Wanaume ndio wahanga wa kuachwa sana sana,unaweza kuta umekapenda ka binti sayuni3 kwa dhati kabisa lakini utashangaa kanapoteza focus na wewe,mala niko busy,naumwa nitakutafta,ili mradi tu umuache.
Yamenitokea haya mambo ndo mana naandika hapa,unaachwa bila hata sababu
Wewe unafkiri nini chanzo cha mahusiano mengi kuvunjika(mapema)?
Wasaalamu.
Spare shop somewhere.