Existentialist
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 554
- 377
Jana shemeji yenu kanishanganza kidogo, wakati tunatoka club almost saa nane na nusu hivi tukiwa tumefika sehemu ya parking home akanitaka tufanyie sex ndan ya gari.
Nimewahi kusikia watu wanafanya hivyo lakini nilijiuliza maswali mengi kwanini siku zote hajawahi kusema tufanye hivyo na wakati anajua kabisa sipendi gari yangu itiwe najisi.
Ndo kusema kuna mtu kamuonjesha kwenye gari sasa kajisahau?
Plzzz naombeni uzoefu wa mtu yeyote aliyewahi kufanyia ndani ya gari ni nini cha ziada kinapatikana ambacho siwezi kukipata nikifanyia mahali pengine?