Nini cha msingi kufanya mara tu baada ya ku do.

Sangarara

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
13,104
Reaction score
5,665
Kitendo cha ku do, kinamsisimko wa aina yake, kila kiungo cha Mwili kinashiriki kwenye kitendo hiki kwa ufanisi wa hali ya juu, kabla na wakati wa ku do damu uhakikisha inafika kila eneo la mwili kwa ajiri ya kupeleka chakula na oxygen.

Na kwa sababu ni kweli kwamba mara baada ya kitendo hili washiriki wanakuwa wamechoka sana, je inashauriwa kufanya mambo gani, kiafya au kisaikologia, japo ndani ya nusu saa baada ya kupiga bao.

1. Kuzungumza, asantee.., nimefurahi sana, wewe ni mtaalamu aisee... sijawahi furahi namna hii.. au story ndefu zaidi.
2. Kulala, kama usingizi ukija, basi sinzia huku mwili ukiwa huru kabisa.
3. Kukumbatiana, kung'ang'aniana
4. Kupata vinywaji, maji, juice, chai, energizers,vinywaji vikali, kula matunda, ama chakula kizito
5. watch movie, au habari
6. Chumba kuwa kitulivu au kufungulia mziki,
7. Kujisomea, kitabu, gazeti
8. Kuanza kufanya mawasiliano na outsiders, kwa simu kwa mfano.
9.
10.
 
Jambo la kwanza kabisa ni kupongezana kwa kazi nzito mliyotoka kuifanya. Hii itamfanya kila mmoja kuona mwenzake amefurahia tendo.

Ila baada ya hapo ndio mambo mengine yanafuata kama vile;Kwenda kuoga baada ya varangati la hapa na pale ili kuuweka mwili safi. Pia kuufanya mwili uchangamke maana utakuwa umechoka kutokana na zile nenda urudi ulizokuwa unafanya.

Pia unashauriwa kupata kitu cha kulainisha koo(maji au juice) itahusika sana.

Baada ya hapo unaweza ukaupumzisha mwili(kwa kwa kulala) ila kama bado unajiona una nguvu unaweza kuendelea na mambo mengine. Kwa wale wapenzi wa kuangalia movie waangalie, kwa wale wapenzi wa kuchat ruksa.

Hayo ni mawazo yangu.
 
ukimaliza first round piga push up ready for second round hii mambo ya story sijui, juice nikulemba visivyolembwa ,its all about kazi tu. ndo maana nyie masharobaro na wasomi wengi mnamegewa na wahuni ambao hawana formular zaidi kazi tu, wanasimamia naiskeli mpaka kwenye mteremko, nyie mnajifanya mnapumua mta pigwa kanzu sana na hizo MAGAZIJUTO ZENU.
 
ukimaliza first round piga push up ready for second round hii mambo ya story sijui, juice nikulemba visivyolembwa ,its all about kazi tu. ndo maana nyie masharobaro na wasomi wengi mnamegewa na wahuni ambao hawana formular zaidi kazi tu, wanasimamia baiskeli mpaka kwenye mteremko, nyie mnajifanya mnapumua mta pigwa kanzu sana na hizo MAGAZIJUTO ZENU.
 

As a gentleman, I personally would suggest the following immediately baada ya mzigo:
Act humane; try cuddling and if she loves kissing, why not? U could stroke her hair gently maintaining that eye contact ... women's eyes look sexy immediately after getting it good. I particularly love those that roll their eyeballs, tjoh!!! All n all make her feel appreciated through action n sio mambo ya kuambiana asante. Nawakilisha
 

Duh! Baiskeli inasimamiwa hadi kwenye mteremko!!! Haitakua overdose hiyo.
 
unampongeza mtu unamwambia baby wewe mtamu ...teh anakujibu najua kila mtu ananiambia hivo...utakomaje..wewe potea zako eneo la tukio hata nguo kavalie kwenu
 
Kama ni mwanamke atauliza, C H U P I yangu ipo wapi?kwa mwanaume utabaki kutafakari kama umepata ulichokua unakitarajia au laa,na wakati mwingine kujilaumu kuwa ZAFANANA
 
I think vitu vingine ni so natural na inategemea na mazingira sijui kama unaweza kupanga...nini kitafuata
 
unampongeza mtu unamwambia baby wewe mtamu ...teh anakujibu najua kila mtu ananiambia hivo...utakomaje..wewe potea zako eneo la tukio hata nguo kavalie kwenu

Dah!!! Yani ukimbie na nguo ukavalie mbali kwani milikua mnafanya kiuwizi-uwizi?
 
unampongeza mtu unamwambia baby wewe mtamu ...teh anakujibu najua kila mtu ananiambia hivo...utakomaje..wewe potea zako eneo la tukio hata nguo kavalie kwenu
ha haaa, rafiki yangu umenichekesha mno.
thanx
 
you said it all........
mwenye masikio na asikie......
ila amini usiamini, unaweza kufanya haya kwa mtu ambaye unam-feel tu na si vinginevyo
 
Nyie watu wachafu kweli! First thing bafuni kuweka mambo safi!
 

umenifurahisha! Yawezekana pia ukimaliza first raund, usafi kidogo kwa kuzingatia miili itakavyokuwa kutokana na hali ya game ilivyokuwa. Then back for next round. Lakini unaweza hitaji few drops za kimininika. Pengne pia ukahitaji kunyoosha au kukaza viungo kidogo tu kimtindo. Haya anaweza kuyafanya huyo asiyeremba, bt kazi tu as u said kindboy. Lakini hata kama hurembi, haishindikani kuonyesha appreciation all the time... usisubiri kukaririshwa kanuni/wakati wa kukumbatia, kukiss au neno zuri kumtamkia. Lakini kindboy, ujue kuremba kwingne ni sehem ya mchezo.... story, juice n.k. Hatahivyo ninahofu na hizo simu za nje hasa zitakapozidi, japo ni kweli kuna wakati yaweza lazimu kuhamisha mawazo mchezoni kwa muda. Lakini sio tatizo kama game ndo imekwisha kabisa kwa wakati huo. Tatizo lipo kwa wazinzi, tena ikitokea na mtu asompenda....
 
the 1st thing is kupongezana kisha tendo bila kuchelewa ni zoezi la kuvua Condom na kisha wote wawili kwenda toilet kujisafisha sehemu zenu za siri na kama hamjachoka basi ni vizuri mkajiloweka na Maji na hatimae mrudi room na kunywa maji kisha mrudi kitandani kwa porojo mbili tatu za hapa na pale
 
Kulala pamoja huku mkiwa mmekumbatiana kwa kuambiana maneno matamu ya kimapenzi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…