Nini cha kufanya ukiwa JKT?

Nini cha kufanya ukiwa JKT?

golden heart

Member
Joined
Jan 5, 2014
Posts
13
Reaction score
1
Nia yangu ni kuwa mwanajeshi wa jeshi la wananchi nini cha kufanya nikiwa JKT ili kutimiza ndoto zangu za kuwa mzalendo halisi na kujiunga na JWTZ?
 
Unayafahamu malengo makuu ya Jkt?

1.malezi kwa vijana
2.ulinzi wa taifa
3.uzalishaji mali
Tegemea utafundishwa hayo then utarudi uraiani kujitegemea.
 
Tegemea kukaa huko miaka miwili then,urudi mtaani huna k2,wala pa kuanzia huna
 
No jkt ya sasa imewekwa kuwa ndiyo chombo cha kupitia kabla ya kuingia kwenye vyombo vya ulinzi,ambavyo ni jwtz,polisi,magereza,usalama wa taifa,TANAPA na makampuni mengine ya ulinzi.kwa maana hiyo huwez kuingia jwtz bila kupitia jkt.so ukiwa jkt kikubwa kinachotakiwa ni NIDHAMU.hilo ndiyo litakalo kufanya uchaguliwe kuingia jwtz baada ya kupitia jkt kwa miaka miwili ya kujenga nchi.so kama ukiingia jkt na ukawa na NIDHAMU huwez kukosa ajira kati ya hizo nilizo taja. Na kama ukikosa utakuwa na matatizo binafsi kama ya kiafya.so wasikukatishe tamaa.
 
Usipacchukie ukiwa mzalendo na ukifikia uservice ni rahisi kupata nafasi katika vyombo vingine vya ulinzi huko ndiko majina ya wanaohitaji kujiunga na JWTZ yanapochukuliwa,elimu nayo ni muhimu kijana
Ndo kitu kinachonifanya nipachukie Jakata
 
Back
Top Bottom