Tamaa na uzinziNadhani mpo salama, mnajua hua sielewi kabisa linapofika swala la kumtamani Mke wa mtu/Mume,bila kujali nawe una,mke/Mume au upo bachela,
*je ni haya magari wanayonunua/kununuliwa Yanawazuzua??
*je ni vile matunzo/huduma wapatazo kutoka kwa waume zao ndizo zinawavuruga??
*au nivile mavazi yao yanawatoa udenda na roho zenu Ilizojawa tamaa..
*kumbuka unapoenda kula cha mwezio basi nawe chako chaliwa huku ndio maana wengi wenu,mnalea watoto sio wenu na bado unajitapa kumpenda mkeo.
*basi masharo nao ndio wakiona mijimama basi hawaishwi kujilamba Lips na kupikicha mikono kama wamekumbwa na baridi la mbeya. Dada zetu ndio kabisaa kutikisa vifuu vyao walivyojaza na chupi za kichina hizi, amakweli dunia imevaa dera.kuna jamaa hapa kaleta uzi eti hampendi tena mkewe na keshaanza mtamani mke wa rafiki yake.doh...this is nonsense....
Note: vilainishi vimeshuka bei,bt pia tuheshimiane
Nawe ni mke wa mtu?Ngoja niwe msomaji
Ndio NgabuNawe ni mke wa mtu?
Ni mke wa nani wewe Shunie?Ndio Ngabu
nlipoona hio avatar nkasahau mtoa mada alikua anaongelea kitu gan...........Ngoja niwe msomaji
Huyu atakuwa mwanamke kama sijakosea leo kaamka ili achambe watu tu kwa kuwa hata point ipo kwa mbali sanaNadhani mpo salama, mnajua hua sielewi kabisa linapofika swala la kumtamani Mke wa mtu/Mume,bila kujali nawe una,mke/Mume au upo bachela,
*je ni haya magari wanayonunua/kununuliwa Yanawazuzua??
*je ni vile matunzo/huduma wapatazo kutoka kwa waume zao ndizo zinawavuruga??
*au nivile mavazi yao yanawatoa udenda na roho zenu Ilizojawa tamaa..
*kumbuka unapoenda kula cha mwezio basi nawe chako chaliwa huku ndio maana wengi wenu,mnalea watoto sio wenu na bado unajitapa kumpenda mkeo.
*basi masharo nao ndio wakiona mijimama basi hawaishwi kujilamba Lips na kupikicha mikono kama wamekumbwa na baridi la mbeya. Dada zetu ndio kabisaa kutikisa vifuu vyao walivyojaza na chupi za kichina hizi, amakweli dunia imevaa dera.kuna jamaa hapa kaleta uzi eti hampendi tena mkewe na keshaanza mtamani mke wa rafiki yake.doh...this is nonsense....
Note: vilainishi vimeshuka bei,bt pia tuheshimiane
Nadhani mpo salama, mnajua hua sielewi kabisa linapofika swala la kumtamani Mke wa mtu/Mume,bila kujali nawe una,mke/Mume au upo bachela,