kibol
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 4,512
- 2,730
wakuu naomba mwenye uelewa wa athari za mirungi atueleze,ingekua vizuri akaelezea athari za mda mfupi na mda mrefu,pia kama ina madhara makubwa kihivyo mbona nchi jirani ya kenya imeruhusiwa?ina maana serikali ya kenya haijali afya ya wananchi wake?