Nina swali pia hapohapo wanajamvi; empowering women ina kasi zaidi kwa nchi zilizoendelea wanataka kila kitu wawe sawa na wanaume ila likija swala la child support siku zote mwanaume ndo anatoa mshahara wake kumpa mwanamke kumtunzia mtoto na kama mwanaume ndio anaishi na mtoto basi mwanamke anakua huru sheria haimbani kulipa child support. Na wanawake hawana mpango wa kugombania haki hii kabisa ya kulipa child support, imekaaje hiyo?