Ni mifumo gani ya kibaologia inayopelekea mfumo huo? Pengine hiyo yawezakuwa ya kiasili zaidi.
Mwanamke kuwa mzaaji kibaiolojia kunampa a natural disadvantage. This spiraled further over the ages and emerged into "mfumodume".
This is not justifying mfumodume, this is explaining mfumodume.
Kuwa na mtoto tumboni maana yake hayuko empowered kwenda kuwinda kama mwanamme, na ni mtu wa kuletewa zaidi.
Watoto wakizaliwa wanakuwa na natural affinity kwa mama - the unseen umbilical cord- kuliko baba. This used to be the case anyway, and it is still so in a good number of the developed mammals.
Umetaka kujua asili ya mfumodume.
Asili yake ni baiolojia.
Again, this is explaining, not justifying. We must rise above a purely biological construct and adopt a more cerebral approach.
I like the explanation. Nadhani hii inauzito kulilo sababu nyingi kama siyo zote. Na pengine itakuwa vigumu sana kuondoa huu mfumo kuwa kwa kufanya hivyo tutakuwa tunakwenda kinyume na utaratibu wa asili.
kwani kuna tatizo gani?Mtazamo wa kuona kuwa mwanamke ni kiumbe anayehitaji favour kama vile, kulindwa(security), kuinuliwa, kutetewa, mpaka kuwa na siku ya wanawake, siku ya kina mama, viti maalumu, makazini kupewa kipaumbele na vitu kama hivyo. Vinatoka wapi?
Ni dini siasa au tamaduni?
Naam.
Hili lisibweteze jitihada za kuutokomeza mfumo huu kwa sababu kuutokomeza ni vigumu (kwa sababu asili inafanya iwe vigumu kuutokomeza).
Tukiwa na mawazo haya tutashindwa hata kujenga barabara za kupanda milimani, kwa sababu asili inafanya hili nalo liwe gumu.
Swali la kutuongoza lisiwe "kipi ni rahisi kufanya?" bali liwe "kipi ni haki na sawa kufanya?".
kwani kuna tatizo gani?
Leo tunajadili mfumo dume, after 100 to come, tutajadili mfumo jike. Mfumo Dume unatatizo gani? mimi sioni tatizo ila baadawatu kupata maendeleo ya kielimu, na uhuru wa mambo mbalimbali basi jamii inataka kubadili mfumo wa maisha. vitabu vya dini mbalimbali ngano za kiafrika n,k ninaonesha manabii, mitume, wakuu na watu wenye mafanikio, n.k walio wake zaidi ya mmoja na maisha yalienda!!
kama unaimani ya dini hhuwei kuwa unajadili mfumo huu, vinginevyo unatenda dhambi.
my take: hebu fikiri wewe ni mama unakuta mwanao wa kiume ndo anapika, anabaki na mtoto, na anafanya shughuli zote za nyumbani wakati mke wake ameenda na amerudi job amejipumzisha anasoma gazeti? how would you feel?
Hayo yote hutokana na mfumo dume tuliorisishwa na mababu zetu, kuwa mwanamme anatakiwa kufanya hivyo ili kulinda hadhi na heshima, ambapo huamini yeye ni bora kuliko mwanamke, so na mwanamke hana power yoyote mbele ya mume, yeye ni mtu wa kukaa na kutekeleza kile mume anataka, na hasipo tekeleza huambulia kupewa adhabu kama kupigwa..
Pia katika mfumo huu kandamizi, mwanamke amewekwa katika kundi la kuwa yeye ni mtu ambaye asiye weza kujimudu katika masuala mbalimbali kama ulivyo sema security nk.. So mwanaume anatakiwa atekeleze hayo na endapo mwanaume ataonyesha udhaifu katika mambo basi jamii humdharau na kumuweka katika kundi JIKE (ambapo kwa wanaume hii wanaamini ni tusi na ni dharau kubwa)
HUO NDIO MTAZAMO DUNI ULIOAMINIWA NA JAMII YETU YA ZAMANI.
Hatahivyo kwa karne ya sasa wanawake wamechoshwa na huo mfumo kandamizi na kuamua kuwageuzia kibao wanaume kuonyesha na wao bila wanaume, wanaweza!!!!
Na ndio maana tunataka kupewa nafasi makazini na katika siasa pia ili tuwaonyeshe uwezo wetu.!!
Hebu tuachieni hii nchi muone kama kutakuwa na ufisadi, nyinyi wanaume mnafichiana siri sana, sisi hatunaga hizo ukiona fisadi tunamtaja hata awe ni mume wangu, MIFANO IKO WAAAZI KABISAAA!!!!!
Kujenga barabara ili kuweza kupanda mlima hakuwezi kufanya mlima kuwa mteremko,
na kupanda mlima si kwenda kinyume na asili
ila kugeuza mlima kuwa mteremko(bila kuuvunja) yawezakuwa kinyume na asili, na sijui kama tunaweza.
Hebu nisaidie kuweka sawa ufafanuzi wako.
Kibailojia, jinsia ya kike inananafasi kubwa ya kuzaliwa kuliko ya kiume, jinsia yakike inaweza kuhimili hali ngumu kama njaa na kiu kuliko ya kiume, jinsia ya kike inawezakuwa na umri mrefu wa kuishi kuliko jinsia ya kiume.
Sasa tujiulize, jamii inamtazamo sahihi inapomchukulia mwanamke kama kiumbe ndhaifu?
kwani wanawake wanapigania haki kwa sababu ni viumbe dhaifu???
Kuna ubaya wowote kufikiri tofauti na mfumo huo wa kidini?
Leo tunajadili mfumo dume, after 100 to come, tutajadili mfumo jike. Mfumo Dume unatatizo gani? mimi sioni tatizo ila baadawatu kupata maendeleo ya kielimu, na uhuru wa mambo mbalimbali basi jamii inataka kubadili mfumo wa maisha. vitabu vya dini mbalimbali ngano za kiafrika n,k ninaonesha manabii, mitume, wakuu na watu wenye mafanikio, n.k walio wake zaidi ya mmoja na maisha yalienda!!
kama unaimani ya dini hhuwei kuwa unajadili mfumo huu, vinginevyo unatenda dhambi.
my take: hebu fikiri wewe ni mama unakuta mwanao wa kiume ndo anapika, anabaki na mtoto, na anafanya shughuli zote za nyumbani wakati mke wake ameenda na amerudi job amejipumzisha anasoma gazeti? how would you feel?
Hakuwezi kufanya mlima kuwa mteremko, lakini hili halimaanishi tusijenge barabara kama juu kuna El-Dorado.
Ni kinyume cha asili, as in moving from higher entropy to lower entropy, ndiyo maana maji ya mto hayapandi mlima.
Why should anyone want to do that?
Angalia mlima kwa mujibu wa kani inayotakiwa kutumika na entropy.
Bottom line,
Tusiogope kufanya kitu kizuri kwa sababu ni kigumu.
Tusing'ang'anie kufanya kitu kibaya kwa sababu ni rahisi na utamaduni tuliouzoea.
Ni tamaduni na mazoea au asili? Maana kuna sababu za kibailojia ulizitaja awali.