ok faini ya sh ngapi na anapofungwa miaka 2 iyo biashara maana yake ifungwe na isiendelee kulipa kodi kwa miaka 2 kweli ?Kwa mujibu wa sheria ya leseni za biashara ya mwaka 1972 sura ya 25 kifungu cha 17 adhabu yake ni faini au kifungo cha miaka 2 au vyote kwa pamoja.