Utaweza ndio, ila sio kwamba ndo utafundishwa kuwa developer chuo. Chuo wanafundisha vitu general sana sababu unatakiwa ku cover vitu vingi vya ICT mfano networking na mambo ya hardware.
Ili kufanikiwa ni wewe kwenda deep zaid kwenye software kivyako na kutumia chuo kama platform ya kukutanisha na watu mfano ile time ya field unahakikisha umepata sehemu yenye software development.
Kuhusu chuo jaribu kuangalia UCC.