Ningependa kujua

MR. DRY

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2011
Posts
637
Reaction score
122
Wanab0di.
Hivi hizi simu zinaz0tumia andr0ide km htc,techn0 na huawei ambaz ni t0uch,je kwenye internet zinamfum0 kama una0tumiwa na blackberry(I mean kununua bundle) au mtu ukijiunga na vifurishi vya kupiga simu*sms na MB tunaz0pewa na mitanda0 yetu zinatumika?

Ahsante
 
Simu hizo Mkuu hazina mfumo kama Bb
zenyewe ukinunua kifurushi chako cha 500,499 n.k unatumia internet kama kawaida
 
Simu hizo Mkuu hazina mfumo kama Bb
zenyewe ukinunua kifurushi chako cha 500,499 n.k unatumia internet kama kawaida

Ahsante ng0ja nikachukue sasa,nimech0ka kubanwa na BB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…