Ningependa kujua kocha wa simba Yuko wapi

Ningependa kujua kocha wa simba Yuko wapi

2025DG

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2023
Posts
519
Reaction score
1,553
Habari.

Ningependa kufahamu Kocha mpya wa simba aliyetambulishwa mwezi uliopita yuko wapi.

Kuna Yoyote mwenye Taarifa rasmi.
 
Habari.

Ningependa kufahamu Kocha mpya wa simba aliyetambulishwa mwezi uliopita yuko wapi.

Kuna Yoyote mwenye Taarifa rasmi.
Alikuwa kwao Brazil kwa ajili ya kuongeza maarifa kidogo. Na sasa amesharejea klabuni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom