nusuhela
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 5,736
- 6,972
Naomba niseme nimekua mtumiaji mzuri wa kulipa kwa M-pesa mastercard.
Nimekua nikideposit 1xbet.
Leo nimebutua mshiko wa maana sasa nataka kutoa kiasi. Nimejaribu kutoa kwa njia ya acc yangu ya bank, wamekataa kutokana na terms and conditions zao kuwa lazima nitoe kwa njia niliyotumia kudeposit.
Sasa, nimekuja kwenu wazoefu nahitaji msaada wa kueleweshwa/elekezwa kama M-pesa mastercard inaruhusu kupokea hela? Au ipo kwaajili ya malipo tu?