RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,733
- 11,470
"Tuliufuta kwa sababu tuliona hakuna cha maana ulichokiandika unajaza server tu za jf yaani kwa kifupi ulimwaga upupu.Hata huu tupo kwenye hatua za mwisho kuufuta"Wakuu ningependa mnijuze sifa hasa za wanawake wakikwere,maana nahitaji nikate shauri lakuoa binti wa kikwere.
Ningeomba nifahamishwe sifa nzuri na mbaya juu yao, mwisho wa siku niwe na maamuzi sahihi.
Mods naomba msifute uzi wangu,maana uzi wa kwanza mmeufuta bila kuwa na sababu maalumu.
Kwanza nikupongeze kwa comment yako,pili unaweza kuufuta pia kama nawe unahusika na ufutaji wa threads mbalimbali."Tuliufuta kwa sababu tuliona hakuna cha maana ulichokiandika unajaza server tu za jf yaani kwa kifupi ulimwaga upupu.Hata huu tupo kwenye hatua za mwisho kuufuta"
mkuu nasema siriously kabisa.Aiyayayaaa, mkuu unasema kwek au unatania??!...njoo PM
Mkuu kwanza mimi ni mwanaume,pili yeye namfahamu vizuri,lakini pia nilitaka kufahamu sifa kuu za kabila hilo.Pia nipo nae kwenye mahusiano yakawaida.Lakini nafanya uchunguzi ili yawe mahusiano rasmi.sasa wakikupa sifa manga utamwacha? ukimwacha umtafutie bwana mwingine kabisa
Asante mkuu.Wana roho mbaya pia ni makauzu kama mabalozi wa nyumba 10
heee kumbe hata hujakubaliwa[emoji15] sasa ukipropose akakakwambia ana mtu na soon wanaoana[emoji38] [emoji38] izo sifa utazitungia kitabu auMkuu kwanza mimi ni mwanaume,pili yeye namfahamu vizuri,lakini pia nilitaka kufahamu sifa kuu za kabila hilo.Pia nipo nae kwenye mahusiano yakawaida.Lakini nafanya uchunguzi ili yawe mahusiano rasmi.
Una ndoto za kuwa mod ?"Tuliufuta kwa sababu tuliona hakuna cha maana ulichokiandika unajaza server tu za jf yaani kwa kifupi ulimwaga upupu.Hata huu tupo kwenye hatua za mwisho kuufuta"
Nipo nae kwenye mahusiano ya kawaida,nikiwa na maana ni mtu wangu.Lakini nahitaji mahusiano rasmi nikiwa namaana nipeleke barua awe mchumba wangu.Nifahamike kwao nae afahamike nyumbani.heee kumbe hata hujakubaliwa[emoji15] sasa ukipropose akakakwambia ana mtu na soon wanaoana[emoji38] [emoji38] izo sifa utazitungia kitabu au
Mkuu namuoa May 30Brother, oa mke usiangalie kabila just look tu kuwa huyo bibie anakufaa maishan mwako, binafsi nina mchumba wa kabila hiyo and honest she's is very good kwa kila kitu, anavaa kwa heshima, mzuri sana, mpole sana ,and ana akili! your wife will leave with your depend on how you treat her, OA KABISA BRO
Asante mkuu, baada ya purukushani za muda mrefu, nimemuona nimtu sahihi kabisa, hatimae naisubili siku ifike nikabidhiwe mke wangu.Hongera kaka, all the best of luck
Brother, oa mke usiangalie kabila just look tu kuwa huyo bibie anakufaa maishan mwako, binafsi nina mchumba wa kabila hiyo and honest she's is very good kwa kila kitu, anavaa kwa heshima, mzuri sana, mpole sana ,and ana akili! your wife will leave with your depend on how you treat her, OA KABISA BRO