Bunsen Burner
JF-Expert Member
- Feb 25, 2009
- 908
- 1,102
Mikakati hiyo ya hata kuexport manpower nje Kenya wanajitahidi, manake hata Sasa wameingia makubaliano na nchi kama USA, Germany ,Saudi , Qatar wanaohitaji kwa sasa, watu kwa kazi mbalimbali...1. Jambo jema ni kumwambia Samia atoe waiver kwa kijana yoyote wa kitanzania mwenye kitambulisho cha taifa apewe Passport free of charge.
2. Samia atoe rai kwa mabalozi wote walio ughaibuni kuangalia fursa za kazi na kurahisisha makampuni katika nchi husika yanaingia mikataba ya kuja chukua wafanyakazi Tanzania.
3. Zoezi liendelee hadi Samia atavyohakikisha ametoa vijana zaidi ya laki 5 ndani ya nchi. Vijana hawa wataenda huko watapata ujuzi wa kimataifa, watapata fedha za kimataifa ambazo zikitumwa nyumbani ni faida kwa nchi, na siku wakirudi nyumbani wataweza tranfer knowledge waliyoipata huko nje kuileta Tanzania.
Raisi hapo atakumbukwa kwa Mengi.
Hakuna mjadala hapa. Unashauri vipi jambo ambalo lipo miaka na miaka?Wewe ungemshaurije kiongozi? Ndo maana ya kuwepo mjadala huu!
Watanzania wenye degree hawajafika 60,000? Ulichoandika unakielewa kweli?Wapo wangapi? Any data? Kwa mujibu wa data zilizopo online watanzania wenye degree hawajafika 60,000 au wapo juu kidogo, mawaziri ni wangapi? Concept hapa ni kwamba watu wenye exposure wawepo wengi, mazingira yatawaforce kuwajibika tu awe ni CCM, au mwengine yeyote, sio watunga sera wanakuwa ni hawa ambao wameona flyover kwa mara ya kwanza za magufuli. So kila anachosema na kuplan anatumia mfano huohuo kila siku, kwa kuwa hajaona zaidi ya hapo, kila siku wanaongelea SGR, Stiglers gorge, kijazi flyover, basi ndio mwisho wa ufahamu wao! Exposure ya watu wengi ya makusudi kabisa itabadilisha mtazamo wa jamii ya watanzania.
HakikaWazo zuri sana ila changamoto ni kwamba kwa huo mfumo anaotumikia naona wangepelekwa watoto na wajukuu wa viongozi waandamizi. Kwa hiyo tunakuwa kwenye vicious cycle
Huwa mnaona raha kuandika ujinga?1. Jambo jema ni kumwambia Samia atoe waiver kwa kijana yoyote wa kitanzania mwenye kitambulisho cha taifa apewe Passport free of charge.
2. Samia atoe rai kwa mabalozi wote walio ughaibuni kuangalia fursa za kazi na kurahisisha makampuni katika nchi husika yanaingia mikataba ya kuja chukua wafanyakazi Tanzania.
3. Zoezi liendelee hadi Samia atavyohakikisha ametoa vijana zaidi ya laki 5 ndani ya nchi. Vijana hawa wataenda huko watapata ujuzi wa kimataifa, watapata fedha za kimataifa ambazo zikitumwa nyumbani ni faida kwa nchi, na siku wakirudi nyumbani wataweza tranfer knowledge waliyoipata huko nje kuileta Tanzania.
Raisi hapo atakumbukwa kwa Mengi.
Hakuna mjadala hapa. Unashauri vipi jambo ambalo lipo miaka na miaka?
Kila leo kuna scholarships nyingi tu zinatolewa na wizara ya elimu kwenda kusoma nje ya nchi.
Bado balozi zilizopo hata Tanzania pia hutoa scholarships nyingi kwenda kusoma nje,bado Kuna mashirika hufanya hivyo kwa miaka mingi tu
Vijana wengi mamia na maelfu wapo nje wanasoma, na hata huku mtaani wapo maelfu wamesoma nje ya nchi
Top officials wengi wa serikali wamesoma nje ya nchi. A
Sasa unataka jipya gani tena watu kusoma nje ya nch
Katiba mpya kwanza hizo social experiments baadae na hata hivyo Wazungu wameshaweka wazi kuwa tatizo letu IQ hafifu.Kwa sababu wamepelekwa na wazazi wao, kukiwa na affirmative action na issue nzima ikabebwa na serikali kwa makubaliano ya serikali na serikali naamini kutakuwa na matokeo baada ya muda, kwa mfano akaamua kufanya maboresho ya wahadhiri tu akahakikisha ndani ya miaka 10 vyuo vikuu vyote vina wahadhiri waliosoma elimu halisi na kupata exposure, nina uhakika tutakuwa na maprofesa wasiofukuzia uteuzi wa ukuu wa wilaya ambao hata wasanii wa maigizo wanaweza! Watasimamia profession na watafanya tafiti wakiwa na network za waliosoma nao Ulaya na nchi zingine, huku wakishirikiana!
Unayetaka kumshauri aliunga unga hivi, pana shule hapo?
EDUCATION
School Name/Location
Course/Degree/Award Start Date End Date Level
Ziwani Primary School, Pemba CPEE 1970 - 1971 Primary School
Mahonda Primary School, Unguja CPEE 1972 - 1972 Primary School
Chwaka Primary School, Unguja CPEE 1966 - 1968 Primary School
Ngambo SecondarySchool, Unguja CSEE 1973 1975 Secondary School
Lumumba Secondary School, Unguja CSEE 1976 1976 Secondary School
National Institute of Public
Administration, Lahore Pakistan Course 1989 1989 Certificate
Institute of Management for Leaders, Hyderabad, India Management Course 1991 1991 Certificate
Zanzibar Institute of Financial Administration, ZIFA Statistics 1983 1983 Certificate
Institute of Development Management, IDM, Mzumbe (Morogoro) Advanced Diploma 1983 1986
Advanced Diploma
Manchester University, London
Postgraduate 1992 1994 Postgraduate Diploma
Open University Southern New Hampshire, USA M.A 2004 2005 Masters Degree
Akawa Rais?????Bado ni kiongozi na pia background haimdefine mtu, wengi wamesoma kwa kuungaunga na wakawa wajuzi wakubwa, after all shule sio majengo au majina, shule ni namna mtu alivyojijenga personally, zamani ilikuwa muda unaokuwa library unadetremine kichwa chako so it doesnt matter umesomea wapi au umeungaunga namna gani, kikubwa na una mawe kiasi gani kichwani kwako na yamepangika namna gani! Philosophers wa zamani wote walisomea chini ya miti, na ndio waliunda principles za maisha ya binadamu hadi leo tunazisoma shule
Karne ipiAkawa great philosopher! Acha urais tu! Akina Gallileo walisomea wapi?
Apeleke wapi? Vijana kila mwaka wanakwenda zaidi ya 300 kusoma nje, na haijaanza leo wala janaNakubaliana na wewe, hoja ni kwamba kama hao unaowasema wapo 100 au 300 hawawezi kuwa na impact yoyote kwa population ya 60M tunachosema kuwe na watu hao unaosema wapo angalau 5000+ hii ya kusema top officials ambao serikali nzima ina watumishi laki 5 tu, so top levels wapo wangapi? Nimesema ningepata nafasi ya kumshauri Mama Samia ningeshauri apeleke vijana angalau 100 consistently akitegemea matokeo ndani ya miaka 30 hadi 50! Akifanya kwa miaka 20 hadi 30 lazima dilution na ujinga tulionao tutaiona! Wapo waliofanya na nchi zao zilibadilika kabisa! Kwa sasa watanzania tunaongozwa na imani tu badala ya facts, sasa kulivua hilo koti sio rahisi kufanywa na watu wanaodesa na kukariri past papers kwa umri wao wote wa kusoma.
Wewe unaona mtu katumia akili kuandika eti mabalozi waombe makampuni ya huko nje waajiri wafanyakazi kutoka TanzaniaNo judgement brother/sister toa hoja zako tutakuelewa! Lets be positive na jibu hoja au puuzia badala ya name calling
Ulichoandika hapa napost yako ni vitu tofauti, post inasema watu wakasome nje wengi ili, hapa unasema haijalishi unasoma wapiBado ni kiongozi na pia background haimdefine mtu, wengi wamesoma kwa kuungaunga na wakawa wajuzi wakubwa, after all shule sio majengo au majina, shule ni namna mtu alivyojijenga personally, zamani ilikuwa muda unaokuwa library unadetremine kichwa chako so it doesnt matter umesomea wapi au umeungaunga namna gani, kikubwa na una mawe kiasi gani kichwani kwako na yamepangika namna gani! Philosophers wa zamani wote walisomea chini ya miti, na ndio waliunda principles za maisha ya binadamu hadi leo tunazisoma shule