S Silas mzungu New Member Joined Feb 4, 2014 Posts 1 Reaction score 0 Feb 7, 2014 #1 Mimi ni mgeni katika jamiiforus nimetoka kenya mombasa.
Mtumpole JF-Expert Member Joined Aug 30, 2010 Posts 2,280 Reaction score 1,296 Feb 7, 2014 #2 Silas mzungu said: Mimi ni mgeni katika jamiiforus nimetoka kenya mombasa. Click to expand... Hii ni JamiiForums na sio jamiiforus. Mtu wa Mombasa Kuingia jf tu, ameanzia MMU! Lakini karibu.
Silas mzungu said: Mimi ni mgeni katika jamiiforus nimetoka kenya mombasa. Click to expand... Hii ni JamiiForums na sio jamiiforus. Mtu wa Mombasa Kuingia jf tu, ameanzia MMU! Lakini karibu.
asporo JF-Expert Member Joined Dec 23, 2012 Posts 333 Reaction score 141 Feb 7, 2014 #3 Karibu sana mkuu.Habari za Mombasa?
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 78,903 Reaction score 172,776 Feb 7, 2014 #4 "Papa limetoa pezi, vidagaa mtaliwa manajiona" karibu sana, mi napenda kucheza pool table bila shaka tutakuwa pamoja
"Papa limetoa pezi, vidagaa mtaliwa manajiona" karibu sana, mi napenda kucheza pool table bila shaka tutakuwa pamoja
Miss Neddy JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 14,684 Reaction score 8,761 Feb 7, 2014 #5 jisikie uko nyumbani mimi ndo nahusika na kuwatembeza wageni humu pia kuwafahamisha kuhusu majukwaaa yote pamoja na kitongoji cha pm na kuwafundisha lugha sahihi inayotumika humu lakini utatakiwa ulipie kidogo hela ya chai je uko tayari
jisikie uko nyumbani mimi ndo nahusika na kuwatembeza wageni humu pia kuwafahamisha kuhusu majukwaaa yote pamoja na kitongoji cha pm na kuwafundisha lugha sahihi inayotumika humu lakini utatakiwa ulipie kidogo hela ya chai je uko tayari
L LOMP JF-Expert Member Joined Sep 12, 2013 Posts 215 Reaction score 21 Feb 7, 2014 #7 karibu sana.lakini angalia usije leta ule mchezo wa David Cameroon
B Bi dentamol JF-Expert Member Joined Feb 1, 2014 Posts 1,039 Reaction score 2,190 Feb 7, 2014 #8 Karibu sana yamombasa yaache hukohuko usituletee hum kwetu
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,371 Reaction score 111,682 Feb 7, 2014 #9 Karibu sana MMU na JF... Wataka harua au wataka gahawa mazee?
Eddy Love JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 13,655 Reaction score 8,590 Feb 7, 2014 #10 Jitambulishe kwanza jinsia yako
Kanali G JF-Expert Member Joined Oct 21, 2013 Posts 9,897 Reaction score 14,456 Feb 7, 2014 #11 Watoka Mombasa!karibu kiingilio nimeshakulipia.
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Feb 7, 2014 #12 Watu wabaya humu, naona mnamchombweza kijana/binti