Ningempata huyu malalamiko mwiko

Ningempata huyu malalamiko mwiko

Wiyelelee

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2012
Posts
1,071
Reaction score
348

Nilikua nazuga kwenye facebook nikaipata hii?

The most lovable wife is the understanding woman.

HIM: Honey don't wait up will be out with the boys! Will be coming home alittle late
HER: Make sure you don't drink too much honey and if you do don't drive call me will come pick you up.
With a woman like that you even feel guilty to stare at other booties across the street!

Sijui wanawake wa aina hii kama wapo siku hizi ! Hata huyu mwanamke anajitetea hapa ni muongo. Mi naona walikufa au hawajazaliwa kabisa. Mungu nibariki mimi.

HAPPY NEW YEAR!
 
Hahahahahaahahahaaaaaaaaaaaa! wiyelele kma kawaida yako ya kulalamika, hivi itaisha lini, nimeshakwambia mkubali mkeo jinsi alivyo, utampenda tu, na nimeshakwambia kuwa ukiona yeye hakufanyii utakacho mfanyie wewe atabadilika tu. Haiwezekani asibadilike.

Nakutakia mwaka mpya mwema wenye amani na utulivu kwenye ndoa yako!!!!

Vipi utakuwepo kwenye white part ???
 
[FONT=lucida
grande]
Nilikua nazuga kwenye facebook nikaipata hii?

The most lovable wife is the understanding woman.
[/FONT]

HIM: Honey don't wait up will be out
with the boys! Will be coming home alittle late

HER: Make sure you don't drink too
much honey and if you do don't drive call me will come pick you
up.

With a woman like that you
even feel guilty to stare at other booties across the street
!

Sijui wanawake wa aina hii kama wapo siku hizi ! Hata huyu mwanamke
anajitetea hapa ni muongo. Mi naona walikufa au hawajazaliwa kabisa.
Mungu nibariki mimi.

HAPPY NEW YEAR!

nna mkosi wa kushindwa kuelewa threads nyingi mwaka huu, do i getin old au grey matter imevamiwa
 
Hahahahahaahahahaaaaaaaaaaaa! wiyelele kma kawaida yako ya kulalamika, hivi itaisha lini, nimeshakwambia mkubali mkeo jinsi alivyo, utampenda tu, na nimeshakwambia kuwa ukiona yeye hakufanyii utakacho mfanyie wewe atabadilika tu. Haiwezekani asibadilike.

Nakutakia mwaka mpya mwema wenye amani na utulivu kwenye ndoa yako!!!!

Vipi utakuwepo kwenye white part ???

Jamani Lisa, mwenzenu najisahau....Nikiona wenzangu wanapita barabarani wanacheka moyo unaniuma sana. Ndo huwa i sometimes think two things

1. I would have married from my tribe.
2. I would have married a primary school leaver
3. I should have married a moderate tall lady - short ones we acha tu! Matatizo chungu mzima.

Najitahidi ku cope ila natembea na mzigo. Bwana asifiwe!
 
nna mkosi wa kushindwa kuelewa threads nyingi mwaka huu, do i getin old au grey matter imevamiwa

The threads are in the forms that are coupled with dot com. It may be difficult for you to understand them if you are miles behind or miles ahead.
 
Jamani Lisa, mwenzenu najisahau....Nikiona wenzangu wanapita barabarani wanacheka moyo unaniuma sana. Ndo huwa i sometimes think two things

1. I would have married from my tribe.
2. I would have married a primary school leaver
3. I should have married a moderate tall lady - short ones we acha tu! Matatizo chungu mzima.

Najitahidi ku cope ila natembea na mzigo. Bwana asifiwe!

hata kama ungeoa kabila lako, wa level ya chini katika elimu or kama usemavyo mrefu wafupi ni shida la hasha, tena labda matatizo uliyonayo sasa kwa huyo mke yangekuwa madogo , ungepata makubwa zaidi.

Mshukuru mungu tu kwa yote, najua inakupelekea hata kuwaza kuwa na small house , kitu ambacho ni kibaya zaidi.

MM ninachokuambia ni kwamba kubali kujishusha kwake, tuone kama atabakia kuwa kama alivyo basi huyo ni tabia yake.Lakini mm najua sisi wanawake waoga pale tuonapo waume zetu wamekuwa na lugha laini na kuongea nasi vizuri, huwa tunabadilika na kuanza mapenzi upya.

huwa nafikiria na kuwaza kwamba huyo mwanamke sidhani kama tangu umemuoa ni mkorofi nafikiri wala usingemuoa , ila kuna kitu ulikifanya au ulimfanyi ikampelekea kuwa hivyo, sasa wewe muhakikishie kuwa umebadilika na yeye atabadilika tu.
 
Back
Top Bottom