Ningekuwa tajiri ningefanya haya

Ningekuwa tajiri ningefanya haya

thinky

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2014
Posts
2,121
Reaction score
267
laiti kama ningekuwa tajiri watanzania wezangu wasingepata matatizo maji bure ,umeme na shule yangu afu bure wewe je?
 
oh yahaya! yahaya eenh!!..

na hafanani kabisaa, na fix anazofanya, yahaya eenh..!
 
oh yahaya! yahaya eenh!!..

na hafanani kabisaa, na fix anazofanya, yahaya eenh..!

jide leo upo jf karibu can see trying to be excel in singing
 
hivi unajua matajiri nao wanakuwaga na madeni,na wana mahitaji makubwa pia kulingana na uwezo wao!
 
Yani wewe ushajikubali ni masikini

Ndio maana unasema ningekuwa

Sema nikiwa tajiri achana na ujinga wa ninge ninge...
 
laiti kama ningekuwa tajiri watanzania wezangu wasingepata matatizo maji bure ,umeme na shule yangu afu bure wewe je?
Wewe ungeyapatia ungeshatusahau sisi walala hoi, hata wanasiasa uongo wao ni huo wakishapata madaraka wanatupa jongoo na mti wake
 
Back
Top Bottom