Ningekuwa ni Agrey Marealle...

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Jul 27, 2008
3,173
481
Kunana fomula ya uongozi huku kilimanjaro siku hizi,,,
Kili Marathon+ Kumbukumbu ya Mangi Mrealle + ufisadi= Ubunge
Mdogo wangu Agrey aliipoakuwa tanzania Brewaries alijua weakness za viwanda vyetu,, kuwekeza kwa wanasiasa. Akaanzisha kwa kushurikiana na wadau wengine Kilimanjaro Marathon. Na kusema ukweli hata mzee Ndesa anafaidika na hili. Sasa bwanamdogo agrey anataka kutumia mgongo wa kili marathoni kuibua ubunge. Agrey wewe bado kuwa mbunge,,,bado kabisa!
Huna chochote ulichokifanya ili wanamoshi wakulewe! Huna. Ningekuwa mimi ningechangamana na watu wa moshi na kujua wanataka nini. wanahitaji nini. wewe hijui. Muulize Mama minde na uchaguzi wake wa Ijumaa wiki hii,,, pamoja na yeye kukaa moshi wakti wote huu. Watanzania,,,, wa kweli,,, hawako hivyo,,,,,jipange upya,,, hizo senti zako unazogawa huko moshi,,, zitakutokea puani..... Acheni kucheza mchezo mchafu saa hizi. ningekuwa mimi mchezo huo ningeacha sasa....
Nawasilisha
 
Je ana nia kugombea CCM au CHADEMA? Moshi mjini au Vunjo?

Je sii kila Mtanzania ana uhuru kuchagua na kuchaguliwa kuwa kiongozi?

Waache Wananchi wenyewe waamue!
 
Jamaa hajaleta udaku ila kaleta yanayo jiri .Watanzania bwana .Mtu akikaa kimya yakaja yakawakuta ndiyo mtataka aje kusema ? Amekerwa na kampeni za pesa nwa Ubunge wa 2010.Ndiyo nia yake anampa onyo na kuwapa taarfa nyie wadau .
 
Huyo Marealle anataka kugombea kupitia ccm.Hataona ndani,mwache acheze na kazi tu
 
Marealle kumtoa Ndesamburo itakuwa kazi sana, labda akiweza kuwarudisha wauza mitumba waliotolewa kule kiboroloni wakapelekwa memorial. The old man has a special bond with Moshi dwellers, ile ambulance yake inayookoa maisha ya watu inaitwa "Ndesa" sasa Marialle sijui atatupa nini tukiite "Aggie"...
 
Kunana fomula ya uongozi huku kilimanjaro siku hizi,,,
Kili Marathon+ Kumbukumbu ya Mangi Mrealle + ufisadi= Ubunge
Mdogo wangu Agrey aliipoakuwa tanzania Brewaries alijua weakness za viwanda vyetu,, kuwekeza kwa wanasiasa. Akaanzisha kwa kushurikiana na wadau wengine Kilimanjaro Marathon. Na kusema ukweli hata mzee Ndesa anafaidika na hili. Sasa bwanamdogo agrey anataka kutumia mgongo wa kili marathoni kuibua ubunge. Agrey wewe bado kuwa mbunge,,,bado kabisa!
Huna chochote ulichokifanya ili wanamoshi wakulewe! Huna. Ningekuwa mimi ningechangamana na watu wa moshi na kujua wanataka nini. wanahitaji nini. wewe hijui. Muulize Mama minde na uchaguzi wake wa Ijumaa wiki hii,,, pamoja na yeye kukaa moshi wakti wote huu. Watanzania,,,, wa kweli,,, hawako hivyo,,,,,jipange upya,,, hizo senti zako unazogawa huko moshi,,, zitakutokea puani..... Acheni kucheza mchezo mchafu saa hizi. ningekuwa mimi mchezo huo ningeacha sasa....
Nawasilisha

kama nawewe unataka kugombea kagombeee acha mambo ya chuki. KupigA au kupigiwa kula ni haki ya mtu. hivyo agrey kama anataka kugombea mwacheni agombee, kijana safi, wananchi ndiyo wataamua kwa kuamgalia chama chake na wagombea wengine
 
Ningekuwa Aggrey Mareale...ningegombea ubunge nikijisikia kufanya hivyo kwani nina sifa za kuwa mbunge na hamu ya kutumikia nchi yangu
 
mpanda merikebu
mpanda merikebu is saying Tanzanians can say (and mean it) YES WE CAN!!
Senior Member Join Date: Thu Dec 2007
Posts: 165
Rep Power: 21

Thanks: 133
Thanked 136 Times in 69 Posts
Credits: 18,105

Re: Ningekuwa ni Agrey Mareale...

--------------------------------------------------------------------------------

Ningekuwa Aggrey Mareale...ningegombea ubunge nikijisikia kufanya hivyo kwani nina sifa za kuwa mbunge na hamu ya kutumikia nchi yangu
__________________
Emancipate yourself from mental slavery, none but ourselves can free our mind ~RNM

ILI APATE KINGA YA KUTOSHTAKIWA NA WIZI WA EPA!!!!1HILI FAGIO ALIANGALII WAZIRI MBUNGE AKAMUULIZE MRAMBA!!KAZI KAZI""
 
Back
Top Bottom