Angejua jinsi wanavyotucost asingetamani,mara "ooh baby naomba hela nkasuke mara kuna gauni nimeliona nirushie tigopesa 125,000/= nichukue,hujakaa sawa unapigwa na simu yangu imetumbukia kwenye maji naomba uninunulie nyingine"ukiitaka hiyo iliyotumbukia kwenye maji ukamtengenezee anakununia,mwambie tu atamani vingine sio kufanana na sisi.