Ningekuwa mwanaume...."wangenikoma"

Betason

JF-Expert Member
Feb 2, 2015
352
585
Ni kauli ya mdada mmoja tunafanya nae kazi hapa ofisini ni mara ya tatu sasa namsikia akisema hivo akiwa na maana kwamba angezaliwa mwanaume hawa wanawake wangemkoma angegegeda yoyote yule anaemtaka, we umewahi kukutana na mwanamke mwenye fikra kama hizi?

Najiuliza huwa wanaona nini kwa wenzao mpaka wafikirie hivi?

NB; Nipo kwene harakati za kumtafuna japo ni mke wa mtu ili kuifanyia kazi kauli yake.
 
Angejua jinsi wanavyotucost asingetamani,mara "ooh baby naomba hela nkasuke mara kuna gauni nimeliona nirushie tigopesa 125,000/= nichukue,hujakaa sawa unapigwa na simu yangu imetumbukia kwenye maji naomba uninunulie nyingine"ukiitaka hiyo iliyotumbukia kwenye maji ukamtengenezee anakununia,mwambie tu atamani vingine sio kufanana na sisi.
 
Mwambie hajachelewa akusanye mpunga alakibadili duh inaonekana kuna vidume wenzetu wanamkunja vibaya dada wa watu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom