Na mimba patia huko huko kwenye vibombaNingekuwa mwanamke nisingekubali wanaume wasiotufikisha kileleni mxeeew mpaka tumehamia kwenye vibomba
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamia huko kwa wanawake uone kama hatukufikishi kileleni, jaribu tuone pumbafu.Ningekuwa mwanamke nisingekubali kuolewa na hawa wanaume wanaovalia suruali zilizowabana vilivyo huku zikiwa chini ya makalio. wanatembea wakiwa wametanua miguu.
Nisingewakubali hawa wanaume ambao wanatoka na mijimama eti wanalelewa, hawataki kufanya kazi wanaendekeza kulelewa.
Nisingewakubali wanaume wanaotegemea kipande cha Mihogo mibichi, na kipande cha nazi la sivyo hawafui dafu kwenye 6*6.
Wanaume wanaoishi Kwa chips mayai daily.
Wasiotaka kujifunza kwa wazee ambao wanachukua vibinti vibichi na kuvigegeda saana tu.
Ningechukua muda kuwaelimisha wafanye kazi waache kujilegeza, watafute fedha na kuacha kufikiria kulelewa
Kwan ww saiz sio mwanamke?!! naona kama unatumia kauli ya ungekuwa mwanamke kulikoni ndg?!!![emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Ningekuwa mwanamke nisingekubali wanaume wasiotufikisha kileleni mxeeew mpaka tumehamia kwenye vibomba
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]imekula kwake!!Nina wasiwasi na wewe, mambo mengine hata kuyawaza tu ni hatari kubwa. Unachoendelea kutafuta utakipata
Ivi kuna wanaume ambao hawafikishii kunakoooo tuanzie hapooooNingekuwa mwanamke nisingekubali wanaume wasiotufikisha kileleni mxeeew mpaka tumehamia kwenye vibomba
Sent using Jamii Forums mobile app